Mama Kanumba afurahia mpaka machozi hukumu ya Lulu, asema anaenda makaburini moja kwa moja kumzika rasmi

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mama mzazi wa Marehemu Stephen Kanumba, Flora Mtegoa baada ya hukumu ya Lulu ambae amehukumiwa kwa kifo cha mwanae ameonekana na furaha mpaka kujawa machozi.

Mama Kanumba amesema anamshukuru Mwenyezi Mungu, Mahakama na serikali na kudai akitoka mahakamani moja kwa moja anaenda makaburini.

inavo onyesha mama kanumba miaka yote kipindi mwanao anatembea na lulu alikuwa umri mdogo,ila ndo kesi
 
Mama mzazi wa Marehemu Stephen Kanumba, Flora Mtegoa baada ya hukumu ya Lulu ambae amehukumiwa kwa kifo cha mwanae ameonekana na furaha mpaka kujawa machozi.

Mama Kanumba amesema anamshukuru Mwenyezi Mungu, Mahakama na serikali na kudai akitoka mahakamani moja kwa moja anaenda makaburini.

Anaenda makaburini kufanya nini?
 
Back
Top Bottom