Kwani gerezani kunalingana na makaburini!?
Mmmmmh!
Kwa sababu hayajajukuta au!?
Inaonekana kama alikuwa hana Imani na mwenendo wa kesi ilivyokuwa ikiendeshwa..!!Mama anaona haki imetendeka
Ni kweliInaonekana kama alikuwa hana Imani na mwenendo wa kesi ilivyokuwa ikiendeshwa..!!
inavo onyesha mama kanumba miaka yote kipindi mwanao anatembea na lulu alikuwa umri mdogo,ila ndo kesiMama mzazi wa Marehemu Stephen Kanumba, Flora Mtegoa baada ya hukumu ya Lulu ambae amehukumiwa kwa kifo cha mwanae ameonekana na furaha mpaka kujawa machozi.
Mama Kanumba amesema anamshukuru Mwenyezi Mungu, Mahakama na serikali na kudai akitoka mahakamani moja kwa moja anaenda makaburini.
Decimal places 1.9999999999hv kumpoteza mwanao na yule wakukaa miaka 2 ndan inakusaidia nn wewe uliempoteza mwanao mazima !umesoma hesabu gan wewe !
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umeshajichagulia namna unavyotaka ufeKwani gerezani kunalingana na makaburini!?
Toto lake jinga linauwawa na kijitu kukojoa kwenyewe mpaka kichuchumae!
Mama mzazi wa Marehemu Stephen Kanumba, Flora Mtegoa baada ya hukumu ya Lulu ambae amehukumiwa kwa kifo cha mwanae ameonekana na furaha mpaka kujawa machozi.
Mama Kanumba amesema anamshukuru Mwenyezi Mungu, Mahakama na serikali na kudai akitoka mahakamani moja kwa moja anaenda makaburini.