huenda wewe ndo mjinga !huenda hukunielewa !masuala ya kaka wa taifa yameingiaje hapa ! sijakataa sheria ifuate mkondo ila kimahesabu miaka 2 na wewe umempoteza mwanao ni tofauti kbs aendelee tu kumlilia mwanaye lakini sio afurahi eti had machozi ya furaha !labda usiwe mama hujapiota labor !kifo cha mtoto kinauma!nn miaka 2 jela?
hajielew Huyo dada. hawa atakuja kubakiwa mwanae alafu atajua inamsaidia nn mhusika akifungwa
Mh sasa Kwan ndo atafufuka?
Uwezi ukanijibu hivyo mimi, umenierewa[emoji41]?Peace of Mind
under 18 is not fact in issue now..naona mmeng'ang'ania sana hii kitu...kama Mama Lulu aliona mwanawe anabakwa basi yeye ndo angetakiwa kuwa kwanza kwenda kufungua kesi polisi dhidi ya Kanumba kbl haya yote hayajatokea...kama alishindwa kufanya hivo maana yake aliridhia mwanae kubakwa na Kanumba...kesi sio automatic kwamba mtu akifanya kosa tu ndo ashtakiwe,lazima kuwepo na Mlalamikaji/Mripoti wa kesi ndo kesi iwe kwenye motion but mama lulu hakwenda kuripoti juu ya kubakwa kwa mtoto wake au kama ilikuwa inakuuma sana hata wewe ungeenda polisi kuripoti...sasa kama hamkuchukua hatua stahiki cjui ulitegemea nini.Ila atambue hata mtoto wake alikuwa na mahusiano na binti under 18,angekuwa hai na yeye angepokea haki yake, na thus why lulu alikuwa bado na akili za kitoto kuweza kumudu kuwa na mahusiano serious
Unanijua ??? Nimeishikilia kivipi,,komaMbona umeishikilia sana hiyo
Chozi la furaha au masikitiko? hata sijaelewa!