Mama Kanumba asema Lulu alimuua mwanae kwenye kipindi cha ‘Cook with Wema Sepetu’; Lulu amblock Wema Instagram. Sababu yatajwa ni kuchangia mabwana

sijui ni kwanini naamini hizo alama zilizokutwa kwenye mwili wa Lulu aliwekewa baada ya jamaa kufariki maana kalikimbia eneo la tukio kakaenda kujificha huko
anyway nasikia kapteni tumbo alikipiga sana


Walianza kukaharibu tangu kakiwa na miaka 10, yaani wale watu afadhali wamekufa maana wangeendelea tu na mchezo wao wa kuharibu vitoto, maana huyu Lulu sasa hivi wangemuona mzee wangeanza kutafuta victims wengine
 
Mama Kanumba na yeye tunajua ana uchungu wa kuondokewa lakini kumuweka mdomoni mtoto wa watu sio poa, anajisahaulisha kua mwanae alikua mbakaji na mnyanyasaji, mshahara wa dhambi ni...., lile panga lingeondoka na roho ya Lulu, sasa hivi Mwanae angekua na kesi ya ubakaji, ukatili wa kijinsia na uuaji, angemlilia nani?

Lulu endelea kupiga kazi achana hao losers waliochezea usichana wao sasa hivi wanapeleka hasira kwa vibinti vidogo.
 
Jamani
 
Walianza kukaharibu tangu kakiwa na miaka 10, yaani wale watu afadhali wamekufa maana wangeendelea tu na mchezo wao wa kuharibu vitoto, maana huyu Lulu sasa hivi wangemuona mzee wangeanza kutafuta victims wengine
Mtu aliye mwaribu Lulu ni MAMA YAKE MZAZI,hao wengine wamemalizia.Huyo Mama Lulu alikuwa mlevi mbwa na kampani yake ni wale walevi mbwa walioshindika na siku hizi karibia wote wanakunywa gongo.

Lulu kakulia karibu na Tabata St Marry College,kipindi cha nyuma yupo Kaole mama yake alikuwa anamchukua mwanae anaenda nae kwenye mabar moja ya bar ipo karibu na kituo cha treni cha Tabata ,bar inaitwa High Bar ili apewe bia za ofa kupitia umaarufu wa mwanae,hako kameanza kuingia bar kipindi kipo Kaole na Mama yake,tokea kipindi hiko ndipo kilipo anza kuwa mcharuko.Kutembea na watu wazima alianza zamani sana,huyo Komba na Kanumba unaweza ukakuta kwenye list yake wakawa wa 50.

Sema tukio la Kanumba ndio limemfanya atulie,ila mama yake ndiye aliye mwaribu mwanae.
 
Indeed .. empty set
 
😂😂😂😂 Mama Lulu chapombe..akilewa anakuwa wa ovyo Hadi aibu
 
Watu hawamjui vizuri huyo mama labda sijui siku hizi hela za mkwe zime mbadilisha.
Mmh sidhani Kama kaacha labda kupunguza..nilikuwa namuona mbezibeach akiwa anakunywa na maashangingi wenzie..matusi sasa uwiiii...na alikuwa analiwa Hadi na vijana wadogo aibuu
 
Mmh sidhani Kama kaacha labda kupunguza..nilikuwa namuona mbezibeach akiwa anakunywa na maashangingi wenzie..matusi sasa uwiiii...na alikuwa analiwa Hadi na vijana wadogo aibuu
Weee like seriously?
 
Duuuh Mbona balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…