Mama Kanumba: Skendo ya Kanumba iliyonitesa ni ya Ung'eng'e

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .

Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika mahojiano maalum na Mwandishi Wetu : "Eti Kanumba hajui Kiingereza , hili lilinishtua sana nikalipinga kwa nguvu zote sababu najua mwanangu hata shule alikuwa kichwa, " alisema mama Kanumba .

Skendo ya kudaiwa kutozungumza Kiingereza kibovu iliibuka mwaka 2009 katika Jumba la Big Brother Afrika Kusini wakati Kanumba alipoalikwa kutembelea mjengo huo.
 
Mama kanumba na wewe unashangaa kitu gani wakati marehemu(rest in peace) alisoma shule za kayumba from primary to A level, sema tu alikuwa na akili sana ndio maana alijua kiingereza na ni baada ya ku hustle sana
 
Hvi huyu mama alisharudi bukoba au bado yupo hapa mjini?
 
Mama huyu nae anatafuta umaarufu kwa kila design ila ndio hivyo bora hata angekuwa anajua kuigiza
 
huyu mama nae mtu mzima hovyoooooooooo
 
Heheheee kwa hiyo ile skendo ya mwanae kuuliwa na kale katoto haijamsononesha.....au kwa kuwa ndo ilomleta mjini....

Bibi tulia ulee wajukuu....umaarufu Mbaya...
 
Heheheee kwa hiyo ile skendo ya mwanae kuuliwa na kale katoto haijamsononesha.....au kwa kuwa ndo ilomleta mjini....

Bibi tulia ulee wajukuu....umaarufu Mbaya...

Ahahaha jiran yangu mbea kiama, nimekuvulia kofia aiseh khaa?? Naona skendo ya mwanae kubaka wala haijamgusa, na wewe ebu nipishe apa mbona unampa cheo asichostahili? Huo ubibi unamuita kwa mjukuu yupi?? Labda lulu, bibi bomba yule hana mjukuu hata wa kuchonga
 
Mama huyu nae anatafuta umaarufu kwa kila design ila ndio hivyo bora hata angekuwa anajua kuigiza

Aje uku jamii forum tupige umbea atakuwa maarufu na yeye ataandikwa hadi kwa sintah
 
Aaah huyu bibi bomba kazidi....kutwaa kutafuta umaarufu...angekaa angejituliza angempata hata Kingungee wastiriane..

Ila si ana mtoto wa kike mkubwa tu...Ina maana hajazaa? wajukuu anao bwana sema tu ujana anaupenda.....
 
Ahaha, labda kwa hao wengine, nilijua kwa kanumba
 
Huyu mama naye vipi!

Yaani watu kusema mwanae hajui Kiingereza ndo kumsononeshe?

Ingekuwa hajui Kiswahili huku ni Mtanzania aishiye Tanzania na aliyesomea Tanzania hapo ningeelewa.

Lakini Kiingereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…