Mama katee: Introduction

Mama katee: Introduction

Karibu Mama Katee,

Ni matumaini yetu utakuwa nasi katika shida na raha 🙂
 
Mama Katee,
Sisi ni wal wale watanzania wenye uchungu na nchi yao. Najua mpaka umeamua kuiunga yawezekana ukawa na uchungu kushinda wote hivyo tunategemea mengi kutoka kwako na wewe pia utegemee mengi kutoka kwa wanaJF wenzako. Karibu mama yetu.
 
mchango wako tunauhitaji kwa ujenzi wa hili taifa mama
 
Back
Top Bottom