Mama katengeneza mazingira ya wawekezaji ambayo ni rafiki, wawekezaji waje

Mama katengeneza mazingira ya wawekezaji ambayo ni rafiki, wawekezaji waje

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
866
Reaction score
625
Katika ziara ya kongamano la uwekezaji huko Lindi nimemsikia wakisema Mama katengeneza mazingira ya wawekezaji ambayo ni rafiki, wawekezaji waje, kaulu ya kwamba sisi matajiri wakati hatuna uwezo wa kuyatoa hayo madini aridhini haina tija tuwape wenye uwezo. ni kauli sahihi kabisa.,

Lakini kwa mbali inakinzana na mawazo ya Nyerere na ya JPM ya kutafuta nguvu zetu wenyewe katika kujiwezesha kwa kutumia rasilimali zetu.

Kizazi kijacho hii ni massage tutachukua kilichopo na kwa bahati mbaya bila usimamizi mzuri tutafaidi sisi wachache wenye visu vya kukata keki ya Taifa mtambulia kamba pale alipokuwa amefungwa mbuzi.
 
Back
Top Bottom