Mama kijacho kukosa hamu ya kusex

Mkuu umen quote wrong,ni kwamba sitaki kabisa dyudyu na sina hamu ya kusex hata kidogo tangu niwe mjamzito hakuna siku nimejisikia ham ya kusex feeling zimekata kabisaaa
Hormonal issue, kwenye damu, androgens zimekuwa nyingi kuliko estrogens/oxytocins hivyo umembeba JPM mwenyewe na sio Janeth, tulia tumsubirie.
 
Naona huyo mtia preg alikuwa "anasugua" kwa fujo utadhan mtu alo na "ukame" wa nanihiii kwa takribani "vimiaka kadhaa" .......

So badala ya "KUPAGAWISHWA" had uimbe "ali selema alija, mchaka mchaka chinja" ww "UKAKEREHESHWA" hivyo si tu kumchukia yeye bali ukapoteza kabisa hamu ya kutiwa dudu ....
That's purely a "psychological effect"

USHAURI: Kwa "wapiga pushups" wote jamani hizo "dudus" zenu muwe mwazisukuma kwa step ili tusitengeneze akina "Illuminata" wengine [emoji4] [emoji4]
 
C unikaribishe nije kukusaidia kuiondoa hiyo "hamu" [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wala haikuwa hivo
 
Kwani kufanywa ni chakula..[emoji15] [emoji15]
Yaani usipo fanywa unahisi utaugua..!?
Ebu lea hicho kijacho mama, ya huku duniani tuachie sisi tulio shindikana
 
wewe si umesema bwana wako alikukimbia ulivyopata mimba inakuaje useme hauna hamu tena ya sex
 
Huwa inatokea kupoteza hamu ya kufanya mapenzi kwa wajawazito lakini nakushauri jitahidi kupata mgegedo ili njia itanuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…