Hii migawanyiko ni kitu ambacho hakiepukiki ndio maana nimekuomba kuwa uwe tayari kukubali wenzako na uache kufikiria kuwa fujo ndio njia pekee ya kuleta muafaka.
Zaidi mkuu, usiku mwema.
Very nice debate indeed ingawa maswali yangu hayajajibiwa bado.
With this kind of language, I would have been surprized if you gat any apology from anyone.Originally Posted by Kubwajinga
Hopeful all those who offend others would take a note and behave likewise. I asked one prominent member to do the same but instead got even more insults from him and his cheerleader. Kudos Rev.
With this kind of language, I would have been surprized if you gat any apology from anyone.
akitoka ccm uozo wa ccm utaujulia wapi mwacheni mama wa watu katumwa na mungu huyu kuwanusuru watanzania
mungu akubariki mama
Usiku mwema..Ni matumaini watakuja na PLAN B
Tunataka kumwamini lakini chama ndiyo shida!
Atapigana vipi na majambazi ya EPA AMBAO NI ccm yake?
Wakuu,
Kwa maoni yangu ni kwamba, The great Anna Kilango na wengine wema wachache walioko ccm, waendelee kubaki huko ccm angalau kwa mwaka mmoja ili waendelee kupata data zile za ndani hatimaye ziwasaidie kuwapigania watanzania. Nimapema mno kujitenga nao kwani tutakosa mambo mengi yanayojili kwenye vikao vya siri vya ccm ya mafisadi.
Mkuu wangu Mwafrika Wa Kike,
Heshima mbele mkuu, hapo tupo ukurasa mmoja, yaani kuchapa bakora tu, yeees piga fimbo! Si unajua Nyani usimuangalie usoni yaani kumkoma nyani giladi!
Kuna mtumzima hapa ameshikwa pabaya, chapa fimbo tu mpaka kieleweke
Kama wote watahama chama si upinzani nako si utahisha? Upinzani ndani ya chama nayo ni muhimu sana. Annah Aluta tuendelee.