sawa sawa,nafuliwa chupi na mama mkwe kila siku,sioni la ajabu nayeye haoni ajabu.Kule wenzetu wana washing machine, imagine mama yangu pale kwa mtogole uani kakaa bize anafua kufuli ya bro na joto la daa lazima itakuwa na uvundo lol sipati picha, mi nashauri mtu akienda kuoga amalize biashara zake zote
Kule wenzetu wana washing machine, imagine mama yangu pale kwa mtogole uani kakaa bize anafua kufuli ya bro na joto la daa lazima itakuwa na uvundo lol sipati picha, mi nashauri mtu akienda kuoga amalize biashara zake zote