KWELI Mama kuwa na miaka kuanzia 35 au baba kuanzia 40 huchangia kupata mtoto mwenye utindio wa ubongo

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
CP inajulikana tu mtoto akizaliwa as mostly huwa halii au anachelewa sana kulia ila shida kama autism huwezi kujua mana mtoto anazaliwa kawaida kabisa ila akifika miaka 3 ndo utajua
Kule a special needs child sio mchezo usikie tu kwa mwenzako!
 
Sio kweli bhana mbona nimeoa mwaka jana mke wangu ana 42 mi nina 40 na mtoto kazaliwa mzima kila kitu.
Labda inatokana na vyakula mnavyokula kipi di ha ujauzito na mtoto luzaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…