Mama kwa Mtoto wa Kiume

I Labda ndio mtoto mtiifu na anayemsikiliza mama yake katika watoto wote na ana upendo na mama yake,:angry:
Ila kufua nanihiiiiiiino :tape:hehehehe shost Dena hayatuhusu
Ila najiuliza kwa nini ana upendo wa kubagua??
Gudumoning DA Karibu Coffee Magimbi
 
Kwanza nikujibu kulingana na kichwa cha habari kwanza,nafasi ya mke hushikiliwa na mama hadi hapo utakapooa,japo wamama wengi hujisahau na kuishikilia hiyo nafasi hadi mtoto wa kiume anapooa na matokeo yake huwa ni ugomvi baina ya mke na mama mkwe kwasababu,huona bado wa kumfaa mtoto wake.
na ya mume hushikiliwa na baba
Kulingana na na kiini cha habari yenyewe,huyo mama anamdekeza tu mtoto wake,na subiri uone matokeo ya pindi atakapotaka kuoa ni ugomvi utazuka baina ya mama na mke wa huyo kijana kwani mama hatakubali kuachia hiyo nafasi kirahisi.
Huwa inatokea sana.
 
DA,

Hao wamezidi mipaka ya undugu (Mama na mwana). Tayari wako kwenye level nyingine kabisa? Kijana tayari keshachukua nafasi ya baba.

Kama kuna mtu haamini basi asubiri afikie umri wetu...atajua tunalolisema!!

Mzee DC
 
Huyo mama Anajua mapungufu ya mtoto wake,
1. he is weaker than others,
2. sio baba mmoja na hao wengine (need to be protected)
 
Watu kama nyie ndo mnajiita masister duu mtoto wako akijinyea huwezi msafisha mpaka afanye house girl kwani kuna tatizo gani hapo? Wacha mama ampende mwanae hata akifua kufuli ya mwanae hakuna ubaya si wkt alivyo kuwa mtoto alikuwa anafanya hivyo kwa nn sasa asifanye? Vp na matusi nayo wanafanyana?
 
Mkuu, hapo kwenye red, nadhani wana do!
 
Wanakuwa wawazi kwa kuwa wanajua wana kinga ya 'umama' na 'umtoto'....take it from me, wanamegana hao, nimeshashuhudia mengi na umri huu.

Narudia tena, sitaki maswali.

Hahahahaha mama ameamua ajilie vyake kwa raha zake.
Amemtunza kijana toka akiwa tumboni mpaka anapevuka anamuhudimia tu sasa kijana ni kazi moja kumkuna mama ake.
Kijana anarudisha fadhira kwa mama ake jinsi alivyo mlea anampa kitu roho inapenda.
 
...mtoto kwa mama hakui,
madhali yeye ndiye aliyeibebea mimba miezi tisa,
kajifungua kwa uchungu, kamlea usiku na mchana,
Rukhsa mama kum spoil mwanae atakavyo.
 
Yote wawezekana kumdekeza/kumegana
1. Kumdekeza mtoto wa umri huo ni kumjenga katika matatizo makubwa kama huyo mama akifariki kabla kijana hajaoa inakuwaje, wazazi tuacha malezi mabaya mtoto akifikisha umri wa miaka 7 aanze kufundishwa kazi mbalimbali za kujitegeme sio zee zima miaka 23 anafuliwa kufuli lake

2. Kumegana, kumekuwepo na shuhuda na vituko vya aina hii katika jamii yetu kwa sasa kwa hiyo sio ajabu mama akawa anaendelea taaratibu.

Mie nimeshuhudia binti jirani yangu anamfulia baba yake kufuli mama anapokuwa amesafiri mwishowe mama alikuja gundua binti ameingilia makao yake mama akaondoka amemwachia binti na baba wanabanjuka hadharani kila mtu unajua
 
Madam hakuna ushahidi mwingine wa kutosha zaidi ya huo uliouona, ngoja nijaribu kusema hivi,

labda mama anafanya hivyo kuonesha upendo kwa mwanae na kutimiza malezi yake kwa mtoto,
labda huyo mtoto ndiye anayemsikilza sana na kumtii sana mama yake kuliko watoto wengine,
labda huyo mtoto hawezi kujihudumia mwenyewe (mvivu)ndiyo maana anamfanyia usafi mwanae.
labda ni upendo tu wa kawaida wa mama na mwanae wa kiume.
ukizingatia mtoto kwa mama hakui.

habari yako dena?
 
Madam hakuna ushahidi mwingine wa kutosha zaidi ya huo uliouona, ngoja nijaribu kusema hivi,

labda mama anafanya hivyo kuonesha upendo kwa mwanae na kutimiza malezi yake kwa mtoto,
labda huyo mtoto ndiye anayemsikilza sana na kumtii sana mama yake kuliko watoto wengine,
labda huyo mtoto hawezi kujihudumia mwenyewe (mvivu)ndiyo maana anamfanyia usafi mwanae.
labda ni upendo tu wa kawaida wa mama na mwanae wa kiume.
ukizingatia mtoto kwa mama hakui.

habari yako dena?
 
Wanakuwa wawazi kwa kuwa wanajua wana kinga ya 'umama' na 'umtoto'....take it from me, wanamegana hao, nimeshashuhudia mengi na umri huu.

Narudia tena, sitaki maswali.

seconded!
 
Hahahahaha mama ameamua ajilie vyake kwa raha zake.
Amemtunza kijana toka akiwa tumboni mpaka anapevuka anamuhudimia tu sasa kijana ni kazi moja kumkuna mama ake.
Kijana anarudisha fadhira kwa mama ake jinsi alivyo mlea anampa kitu roho inapenda.

ha ha ha ha ha ha sawa mkuu... ila DA nae hajatupa upande mwingine tujue kama dogo ana mpango wa nje i mean GF!
 
Acha umbea DA!!!!!!!!!!!!!hayakuhusu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa,, mpangaji tuu wewe, potezea hayo
 
Ngojeni nipate bia mbili tatu....nitatoa maoni yangu....
 
mpaka soksi, ch***[/SIZE] nimestuka nusu nizimie kha iweje??? Usiniulize kwanini kwasababu sitajibu

We umezijuaje hizo nguo ka za huyo mwanae? Au uliwahi kunanihii naye? Dena mi na mashaka hapo!!
 
Hao ndio wanaosababisha hata mvua isinyeshe!! Kila siku joto tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…