Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa kazi tuuu
Kituko kingine tena hiki, hivi hizi ni siasa au ze comedy
Haya mengine hayamsaidii Magufuli zaidi yawadhalilisha tu wote ccm na magufuli wake. Mama ana manyama kama kitimoto halafu eti unasema magufulika
Halafu haya maumbile yetu ya kike-lazima akitoka hapo akabadili chupiHaya mengine hayamsaidii Magufuli zaidi yawadhalilisha tu wote ccm na magufuli wake. Mama ana manyama kama kitimoto halafu eti unasema magufulika
Maufunguo Yuko hospital nairobi hoi
Hii sasa dharau...inamaana mgombea wa UKAWA ameshindwa hata kupiga moja?
Haya mengine hayamsaidii Magufuli zaidi yawadhalilisha tu wote ccm na magufuli wake. Mama ana manyama kama kitimoto halafu eti unasema magufulika