Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Wivu watu kusema kweli kuwa yeye na familia yake mafisadi na wanataka kutufanya watanzania mabwege eti kutuonyesha kuwa yeye msafi. CCM hawajui hasira za wananchi kwa huyu jamaa watakapomteua ndio utajua the beginning of the end of CCM. Stay tuned wacha sie wengine tule 😛opcorn:Umbeya tu mwanaume mzima na wivu,ulitaka apewe nani dakika tano?mbona hujasema ya msingi aliyoongea,wewe umetoa nini leo?
Waziri mkuu wake Chenge ashasafishwa, tusubiri tuone vituko vya karne!!!!Apewa airtime ya dakika 5 TBC1.
Wenye akili zetu tunajua tu kama Mzee Mzima keshaanza kampeni za Baba na Mama mapemaaaa. Maana siku hizi nasikia Urais ni suala la kifamilia....si suala la Watanzania tena kama tulivozoea.