Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Alipata watoto 7 ndani ya miaka 9, akafuga kuku ili asaidie familia kiuchumi. Akakataa kuitwa First Lady na akarudisha zawadi ya mkufu wa Almasi aliopewa na meneja wa mgodi wa Mwadui. Tena akaishi kwenye ndoa na Mwalimu kwa Miaka 45. Mama wa Taifa,Mama Maria Nyerere ametimiza miaka 94