Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation ( ZMBF), Mama Mariam Mwinyi amekutana na aliyewahi kuwa Waziri wa nishati na madini wa Oman Dk. Mohamed Bin Hamad Al Rumhy, ambaye aliongozana na Ujumbe wake kwa mazungumzo, Ofisi za (ZMBF) Migombani Zanzibar.View attachment 2504011