Habari tulizozipokea sasa hivi ni kuwa, wakina Mama hawa wawili wameondoka duniani kwa uchungu mkubwa kutokana na hujuma walizofanyiwa vijana wao. Vijana wao wote wawili waliwekwa gerezani mmoja akiwa amemaliza kutumikia kifungo.
Baada ya mauti ya mzazi wake ilifahamika pia kuwa Sugu alifungwa bila makosa. Leo hii mama zao wako kwa hakimu wa haki asiyepokea rushwa wala kufanya kazi kwa amri kutoka juu. Wanaomba hukumu ya haki itendeke.
Pamoja na Mama Kabendera kumuombea msamaha mtoto wake, sauti yake haikusikilizwa.
Tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya kutoka Radio Mbao.