Mama mjamzito anatakiwa kwenda clinic mara ngapi kupata matokeo mazuri

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
De29hrVUEAA5uO2.jpg

Je, kupata huduma nzuri za afya kunamaanisha kwenda kliniki kila juma? La, si lazima. Shirika la Afya Ulimwenguni liligundua kwamba wanawake walioenda kliniki mara nne tu wakati wa ujauzito walipata matokeo yale yale kama wanawake walioenda kliniki mara 12 au zaidi.
 
Inategemea na hali ya afya ya mama na mtoto aliyeko tumboni,,,ila ni vema kufuata daktar alivyoshauri
 
Afya yako itategemea clinics utakazohudhuria. Kuna wenye matatizo toka MWEZI wa kwanza mpaka anajifungua. Wengine tatizo ni first semester tu na wengine hawara tatizo kabisa na kuanza clinic baada ya first semester I.e week 12.
 
Nadhani ulitaka kusema trimester chief.. samahan nimeona niweke sawa hilo.
 
Siku hizi mama mjamzito anatakiwa aanze clinic pale tu anapojigundua kuwa ni mjamzito, visit ya kawaida ni kila baada ya mwezi mmoja ila kama itagundulika ana dalili zozote za hatari kama pressure ya kupanda wakati wa ujauzito (P.I.H), upungufu wa damu (Anaemia) maumivu makali ya kichwa, kutokwa na damu wakati wa ujauzito, kushindwa kupumua vizuri n.k basi anaweza kupewa visit zake maalum au hata kubaki hospital. Karibu
 
Kwa mfano mtu (mjamzito) ameandikiwa kurudi clinic tarh 12/6 akawa amesafiri akahudhuria trh 19/6 kuna tatizo?
 
Unatembea na kadi lako la clinic Huko ulikosafiri unakwenda hospital yoyote yenye huduma ya mama, baba na mtoto utahudumiwa
 
Mbna kuna mtu aliambiwa lazima arudi alikopata huduma tangu mwanzo na kuna watu nawaonaga wanakuja kuhamia clinic sasa kwa mimi wa siku moja hapo inakuwaje?
 
bora aende kama kadi linavyoelekeza. Ili kujihakikishia usalama maana UN inatoa viwango vya kidunia wakati huku bongo maisha tu achilia mbali mimba yako chini ya kiwango.
 
Mbna kuna mtu aliambiwa lazima arudi alikopata huduma tangu mwanzo na kuna watu nawaonaga wanakuja kuhamia clinic sasa kwa mimi wa siku moja hapo inakuwaje?
Unawaambia niko safarini, ukienda hospital za private wanakuhudumia Hizi clinic za serikali manesi wetu si unawajua hawanaga wito wachacheee
 
Mbna kuna mtu aliambiwa lazima arudi alikopata huduma tangu mwanzo na kuna watu nawaonaga wanakuja kuhamia clinic sasa kwa mimi wa siku moja hapo inakuwaje?
Ni navyojua klinik ni popote sio lazima pawe mahali pa mwanzo. Mie kwenye mimba ya kwanza nilihudhuria klinik kwenye vituo vitatu tofauti na nikaenda kujifungua Hosp tofauti kbs na nilipoanzia klinik.
Na hata sasa hv nilipoanzia sipo niliporudi mara ya Pili.
 
Back
Top Bottom