Nadhani ulitaka kusema trimester chief.. samahan nimeona niweke sawa hilo.Afya yako itategemea clinics utakazohudhuria. Kuna wenye matatizo toka MWEZI wa kwanza mpaka anajifungua. Wengine tatizo ni first semester tu na wengine hawara tatizo kabisa na kuanza clinic baada ya first semester I.e week 12.
Kwa mfano mtu (mjamzito) ameandikiwa kurudi clinic tarh 12/6 akawa amesafiri akahudhuria trh 19/6 kuna tatizo?Siku hizi mama mjamzito anatakiwa aanze clinic pale tu anapojigundua kuwa ni mjamzito, visit ya kawaida ni kila baada ya mwezi mmoja ila kama itagundulika ana dalili zozote za hatari kama pressure ya kupanda wakati wa ujauzito (P.I.H), upungufu wa damu (Anaemia) maumivu makali ya kichwa, kutokwa na damu wakati wa ujauzito, kushindwa kupumua vizuri n.k basi anaweza kupewa visit zake maalum au hata kubaki hospital. Karibu
Unatembea na kadi lako la clinic Huko ulikosafiri unakwenda hospital yoyote yenye huduma ya mama, baba na mtoto utahudumiwaKwa mfano mtu (mjamzito) ameandikiwa kurudi clinic tarh 12/6 akawa amesafiri akahudhuria trh 19/6 kuna tatizo?
Mbna kuna mtu aliambiwa lazima arudi alikopata huduma tangu mwanzo na kuna watu nawaonaga wanakuja kuhamia clinic sasa kwa mimi wa siku moja hapo inakuwaje?Unatembea na kadi lako la clinic Huko ulikosafiri unakwenda hospital yoyote yenye huduma ya mama, baba na mtoto utahudumiwa
Unawaambia niko safarini, ukienda hospital za private wanakuhudumia Hizi clinic za serikali manesi wetu si unawajua hawanaga wito wachacheeeMbna kuna mtu aliambiwa lazima arudi alikopata huduma tangu mwanzo na kuna watu nawaonaga wanakuja kuhamia clinic sasa kwa mimi wa siku moja hapo inakuwaje?
Asante kwa ufafanuzi myUnawaambia niko safarini, ukienda hospital za private wanakuhudumia Hizi clinic za serikali manesi wetu si unawajua hawanaga wito wachacheee
Daaah sure mkuu. Mambo ya kike na mtaalam tuwaachie tu.Nadhani ulitaka kusema trimester chief.. samahan nimeona niweke sawa hilo.
Ni navyojua klinik ni popote sio lazima pawe mahali pa mwanzo. Mie kwenye mimba ya kwanza nilihudhuria klinik kwenye vituo vitatu tofauti na nikaenda kujifungua Hosp tofauti kbs na nilipoanzia klinik.Mbna kuna mtu aliambiwa lazima arudi alikopata huduma tangu mwanzo na kuna watu nawaonaga wanakuja kuhamia clinic sasa kwa mimi wa siku moja hapo inakuwaje?