thanks sana kaka kwa ushauri wako.kwani wanajuaje kama wewe ni mjamzito? kwann wamzuie, kama aendako ni kwa ajili ya medical reasons je? sema tu ndege zazamani zilikuwa mizinguo sana, hali ya angani kuchafuka ilikuwa kawaida ikawa inawaathiri wajawazito zaidi ndo maana wakashauriwa wasipande ndege
Hap
hapana mkuu.hyu dada yupo mwanza ila anataka kwenda dar akajifungulie huko.[/QUOTE
ni safari ya masafa mafupi tu sidhani kama kuna tatizo, ila aenda kw dr wake apate cheti,, kama ujauzito wake hauna tatizo lolote wanaweza kumruhusu
Atoke mtu Dar aende akamhudumie then warudi wote Dar mbona rahisi.Nafikiri hata wewe unaweza kunuhudumia.Tatzo huku ni mazingira mkuu. Yupo kikazi ni mimba ya kwanza so mtu wa kumuhudumia hakuna
Mie nijuavyo ni mpaka awe na cheti cha Dr. bila hicho watamsumbua sana!