Mama Mkanye Mwanao:Magoli ya Ndemla & Kazimoto

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Jamani tuache unazi tuwe wakweli. Yale magoli aliyopiga Said Ndemla na Mwinyi Kazimoto sio ya nchi hii.

Hebu tazama Mwinyi na Ndemla walivyonyumbulika,wakapangua mabeki,waka-drebo,wakamtazama kipa,wakapima height ya kipa,wakapima leght kutoka mguuni kwake mpaka juu ya height ya kipa,wakatungua..........Full of Physics and Mathematics. Unajiuliza hawa ni wachezaji au engineers katika application za Calculus

Utani
Kama sio lile fuvu lililofukupiwa Taifa,yale magoli ilikuwa apigwe Yanga-Ngao ya Hisani
 
demigod tazama vipaji hivi. Value for Money ya 1.3b

When you play vs Hardrock FC....Vipaji vinaonekana.

Kipaji nani hapo...? MO si alikuwepo last season...Mavugo naye..? Luizio naye...? Au Bocco na Kapombe ndio Vipaji?

Tusipoteze mud kujadiri hilo.
 
Kwanza kabisa mna bahati ya kuwachezeshea wanyonge vigoli kama hivyo. Ila ningeamini ni vipaji kama Ndemla na Kazimoto wangefanya hayo dhidi ya Orlando Pirates au Rayon Sports ya Rwanda.

Usijipime na watoto wadogo!

Hata kuwafunga Ruvu goli 7 kimechangiwa na wachezaji wao tegemezi kwenda kwenye mashindano ya Majeshi ya Afrika Mashariki.
 
Pole. Huna furaha kabisa Kwa namna Mnyama anavyohakiki mitambo
 
Hata hivyo kipaji cha Ndemla kitapotea msimu huu! Sikuona umuhimu wa Simba kupoteza mamilioni ya fedha kwa ajili ya Haruna wakati mnao viungo wazuri kama Ndemla, Mo, Mkude na wengineo! Naungana na mdau hapo juu mechi na hao wapemba si kipimo sahihi cha ubora wa wachezaji wenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa mna bahati ya kuwachezeshea wanyonge vigoli kama hivyo. Ila ningeamini ni vipaji kama Ndemla na Kazimoto wangefanya hayo dhidi ya Orlando Pirates au Rayon Sports ya Rwanda.

Usijipime na watoto wadogo!

Hata kuwafunga Ruvu goli 7 kimechangiwa na wachezaji wao tegemezi kwenda kwenye mashindano ya Majeshi ya Afrika Mashariki.
Hivi hata wewe unaamini kuna wachezaji wa Ruvu walikuwa kwenye majeshi?Kama wa Ruvu Shooting watakuwa kwenye majeshi,Ruvu JKT walikuwa wapi?walikuwa Uganda ni Ruvu JKT

Kwa hiyo Ruvu alikuwa kamili ndio maana ukapigwa 1. Hata hivyo Hard rock sio wa kwanza kufungwa 5,ulishapigwa wewe 5
 
Hata hivyo kipaji cha Ndemla kitapotea msimu huu! Sikuona umuhimu wa Simba kupoteza mamilioni ya fedha kwa ajili ya Haruna wakati mnao viungo wazuri kama Ndemla, Mo, Mkude na wengineo! Naungana na mdau hapo juu mechi na hao wapemba si kipimo sahihi cha ubora wa wachezaji wenu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwepo wa Niyonzima unawafanya Ndemla, Mo na Mkude wawe bora zaidi.
 
Kwanza kabisa mna bahati ya kuwachezeshea wanyonge vigoli kama hivyo. Ila ningeamini ni vipaji kama Ndemla na Kazimoto wangefanya hayo dhidi ya Orlando Pirates au Rayon Sports ya Rwanda.

Usijipime na watoto wadogo!

Hata kuwafunga Ruvu goli 7 kimechangiwa na wachezaji wao tegemezi kwenda kwenye mashindano ya Majeshi ya Afrika Mashariki.
Simba kufunga goli kama hizo ni kawaida sana nakumbuka Hillary Ochesa aliwahi kumfunga golikipa mzungu wa GONGO WAZI kutoka katikati ya uwanjani mpaka akazimia! Mechi hiyo chura tuliwakamua 4 kwa 3! Labda ulikuwa bado hujazaliwa demigod, chura ni timu ndogo pia kwa mjibu wa maelezo yako!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Back
Top Bottom