OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni Jana na Hard Rock ya zenji
demigod tazama vipaji hivi. Value for Money ya 1.3b
Pole. Huna furaha kabisa Kwa namna Mnyama anavyohakiki mitamboWhen you play vs Hardrock FC....Vipaji vinaonekana.
Kipaji nani hapo...? MO si alikuwepo last season...Mavugo naye..? Luizio naye...? Au Bocco na Kapombe ndio Vipaji?
Tusipoteze mud kujadiri hilo.
Pole. Huna furaha kabisa Kwa namna Mnyama anavyohakiki mitambo
Hivi hata wewe unaamini kuna wachezaji wa Ruvu walikuwa kwenye majeshi?Kama wa Ruvu Shooting watakuwa kwenye majeshi,Ruvu JKT walikuwa wapi?walikuwa Uganda ni Ruvu JKTKwanza kabisa mna bahati ya kuwachezeshea wanyonge vigoli kama hivyo. Ila ningeamini ni vipaji kama Ndemla na Kazimoto wangefanya hayo dhidi ya Orlando Pirates au Rayon Sports ya Rwanda.
Usijipime na watoto wadogo!
Hata kuwafunga Ruvu goli 7 kimechangiwa na wachezaji wao tegemezi kwenda kwenye mashindano ya Majeshi ya Afrika Mashariki.
Hata hivyo kipaji cha Ndemla kitapotea msimu huu! Sikuona umuhimu wa Simba kupoteza mamilioni ya fedha kwa ajili ya Haruna wakati mnao viungo wazuri kama Ndemla, Mo, Mkude na wengineo! Naungana na mdau hapo juu mechi na hao wapemba si kipimo sahihi cha ubora wa wachezaji wenu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani haya magoli unaweza kuombea mkopo bank[emoji1]
πππππYani haya magoli unaweza kuombea mkopo bank[emoji1]
Simba kufunga goli kama hizo ni kawaida sana nakumbuka Hillary Ochesa aliwahi kumfunga golikipa mzungu wa GONGO WAZI kutoka katikati ya uwanjani mpaka akazimia! Mechi hiyo chura tuliwakamua 4 kwa 3! Labda ulikuwa bado hujazaliwa demigod, chura ni timu ndogo pia kwa mjibu wa maelezo yako!Kwanza kabisa mna bahati ya kuwachezeshea wanyonge vigoli kama hivyo. Ila ningeamini ni vipaji kama Ndemla na Kazimoto wangefanya hayo dhidi ya Orlando Pirates au Rayon Sports ya Rwanda.
Usijipime na watoto wadogo!
Hata kuwafunga Ruvu goli 7 kimechangiwa na wachezaji wao tegemezi kwenda kwenye mashindano ya Majeshi ya Afrika Mashariki.