Dj Composer
Member
- Apr 3, 2019
- 24
- 44
Umemaliza, hebu chukua savanah kwa mangì bili ntalipaTatizo kabla ya ndoa duh mkuu binti anafahamu sababu halisi mwambie akupe ukweli. Mkwe hawezi wakwepa kiasi hicho either hapendi kabila lako au huna kipato akitakacho.
Umemaliza, hebu chukua savanah kwa mangì bili ntalipa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dah !!!Tatizo kabla ya ndoa duh mkuu binti anafahamu sababu halisi mwambie akupe ukweli. Mkwe hawezi wakwepa kiasi hicho either hapendi kabila lako au huna kipato akitakacho.
Niliwahi kukataliwa siku za nyuma! Leo hii nikikutana na wale ndugu wanatamani ardhi ipasuke wajificheWewe umekataliwa jiongeze mkuu,umenikumbusha shangazi yangu aligomaga kuipokea barua akawaambia nendeni ntawapangia siku ya kuja nikiwa nimejiandaa kumbe hamtaki yule bwana ni fukara na kalelewa na mama babaake hajulikani