Mama mkwe amekataa kuwapokea washenga wangu

Wewe mtie tu mimba huyo binti, kwao watakuja kujitambulisha kwako wenyewe.
 
Me nadhani atume kwanza washenga, wakienda kupigwa beat ndiyo afuate ushauri wako huo.

Maana yake nini, kwenye process za ndoa kuna tu vikwazo vya kijingajinga sana.

Hapo unawezakuta ni maneno tu ya mashambenga na mashakubimbi!
 
Jilipue nenda tu kukamilisha ushahidi ikishindikana kabisa mwachie bintiye kisha pitia Singida wakati unarudi chukua watoto wawili wa Kinyaturu utakuja kunishukuru baadaye. They are so delicious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…