Mama Mkwe hataki nifanye tendo la Ndoa na mtoto wake

Bwana mdogo mimi siyo dada!! right??
Ungetumia hiyo akili kidogo unayosema usingeandika hizo pumba zako, labda utuambie akili unazotumia ni kutoka kwenye hilo shithole...
Huu uzi ulioleta unatofauti gani na huu?
Mama mkwe anapiga simu usiku saa nne saa tano nikiwa kitandani
 
ha ha ha.. weekend yangu haikuwa na kashkash ndugu yangu.... nliitumia kwa utaratibu tu nikiwa nimeitundika miguu juu na mguu mwingine unaning'inia tu umepumzika.
Hahaha
 
Inasikitisha sana...

Mbona ni kazi ndogo sana...

Jamaa atafute mwanamke wa kumpigiaga simu na wakapiga story kwenye mida hiyo...

Mke wake akipigiwa simu na mama yake nae anapiga simu kwa rafiki yake wa kike ananyanyuka anaenda kuongelea mbali...

Utakuja kutuambia kitakachojiri hapo...


cc: mahondaw
 
Kweli tunatofautiana.mi mama mkwe wangu msela sana!saa ingine ananiambia live nimtungue mtoto wake hadi ashindwe kuamka.ananiambia acha kuremba kwenye mchezo.tikisa vuzi hadi hadi kutema mate akitema sio ptuuuu ni bruuu
 
Kuna rafiki yake gudume ni injinia analalamika kwa gudume kwamba wakt wa usiku akiwa anageged mke wake ghafla mama mkwe wake(mama wa mke wake) anampigia simu mwanae /mke wa injinia wanaanza kupiga story kwa muda mrefu na mgegedo unaishia hapo

Sababu ya mam mkwe kupiga simu usiku ni kutaka mwanae amliwaze sababu ana upweke mmewe ameshafariki

Sasa injinia(rafk wa gudume) analalamika afanyeje kachoka tabia ya mama mkwee kupiga simu wakat wakiwa wanagegedana
 
Naona kafanya modification kwa kuongezea uhusika wake


Cc. Bongomuvies

Kuna script apa mkuje kuchukua
 
Oooho! haya Demiss asante [emoji4]
 
Hahaha dagh kweli mamamkwe anatamani kudeti na jamaaa Sema tyu anatafuta Njia ya kumnasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…