Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

Asante mpenzi
 
Asante mpenzi
 
Asante sana ntaufanyia kazi ushauri wako
 
Mama mkwe yuko sawa, wanawake wa kichanga kwa asilimia 99 ni changamoto, kwao pesa na utajiri wameviweka mbele, hawaoni aibu hata kuutoa uhai wa mwanaume. Mwanzoni mnaonyesha mapenzi na upendo uliopita kifani ili kumulaghai mwanaume uolewe. Mimi mhanga wa hilo. Naungana na mama mkwe, mchumba wako asipoisikia sauti ya mamake atalia na kusaga meno
 
Wewe nenda kaolewe na kisharii,shida dada zangu mnapenda kulazmisha ndoa sana,hutakiwi na mkwe chapa lapa
 

Miaka 30 mbele huyo mama mkwe hata kuwepo na hata watoto wasipokubalika haijalishi maana hao watoto ni wao wamakuwa na si wachaga.
 
Miss, bado hatujatrend? Nina hamuuuuu ya kuserebuka mnyaki
 
Wwe ninmtanzania halisi....
wtz wengi husomaga vichwa vya habari tu...
halafu huendelea na comments
 
Wewe ni mmachame? Tuanzie hapo kwanza
 
MTANISAMEHE NIMEZUNGUKWA NA MATUKIO YASIYOKUWA MAZURI KWA NDUGU WALIONIZUNGUKA NA WAKAOA HILI KABILA..

Kwanza nikili ubaya wa tabia za watu kadhaa kwenye jamii husika haimaanishi wote wako hivo hata wachaga naamini sio wote wako hivo na sifa mama ya wachaga ni kuwa ukimkuta ni muumini wa dini anakuwa ni muumini kiukweli kweli.
WAMAKUA ni kabila ambalo wengi wao wapo Masasi, Nachingwea, Ndanda n. k
ni watu ambao wanapenda sana kutembeleana na ikitokea umeoa kwao jipange na kupokeq ndugu wa mke kwa mara nyinyi wanaweza wakaja hata 6 kwa wakati mmoja iko hivo pia kwa kaka zao wakiishi mbali ikiwa wametoboa kimaisha kwa hiyo jitafakari kwalo na jipange kisaikolojia.

ANKO WANGU KAFIA UCHAGANI
Alienda miaka ya na 90 huko nyuma akafikia kuoa na akafanikisha kupata watoto wawili ila aliwahi kutembelea mara ndugu zake home mara 2 na hadi anapata umauti taarifa ilifika baada ya miezi kama mi2 kupita na kule kulikuwa na rafiki yake ambae alifahamiana nae kwa kuwa wanatokea mkoa mmoja na ndie alokatoa taarifa ya kifo chake ikumbukwe kipindi kile changamoto za kimawasiliano ililazimika familia kumpanga mdogo wa marehemu ambae ni anko mdogo akafika Chuga baada ya miezi mi4 mbele baada ya kupokea taarifa ile na kule akapokelewa na yule Rafiki yake na alivyofika kule aliambulia kuoneshwa tu nyumba kuwa ile ndo ilikuwa nyumba yake ila baada tu ya kufariki nyumba iliuzwa na Mwanamke kaolewa tena kwa ndoa ya kanisa na hata wale watoto alisindikizwa hadi wanakoishi kwa mama wa mke nako akaoneshwa tu kwa mbaaaali na akaambiwa mengi ambayo si mazuri kuyaeleza na ikapelekea yeye kuishia hapo hapo na hadi hivi leo hawajawahi kukanyaga ubabani kwao.
Pia kuna ndugu yetu wa mtaani kwetu huyu ni msoja na ni full manyota huko makambini kwao anafanya kazi Dar ila nae kaoa hawa ndugu zetu yeye alimtembelea mdogo wake kwake jamaa siku ya kwanza ya pili ya tatu akamtia kwenye gari akamuuliza wakiwa mbali na nyumbani akamuuliza aseme anahitaji kiasi gani ili akajichanganye mtaani maana pale home wife wake hapendelei uwepo wake jamaa akaamua tu amwambie ampe nauli arudi home ila b4 huyu jamaa hakuwa na tabia za kunyanyapaa nduguze ila alipofika mkoani akamfungulia ofisi ya uwakala Max malipo

ila tulikuwa nae bro mmoja Vvawa huyu ukiishi nae utakataa kuwa hawa ndugu wanasingiziwa ubahiri ni mtu peace anasaidiwa watu kipesa hadi kuwasomesha ila kwa wale wakuolewa nimebahatika kuyaona mabaya zaidi ya mazuri...

NENO LANGU SI SHERIA
 
Hapo umelewa penzi tu la mashine ya kimakuwa, hii ishu hainaga noma kubali tu hilo pepo acha lipite ukilazimishe jiandae kupandwa na majini mahaba nyege haziishi utakuwa choko balaa, kimbia hilo pepo haraka sana
 
Woii! Hilo ni jambo dogo sana, ni hivi funga siku 3 usile wala kunywa. Na na ukiomba KRISTO azikeme hizo falme za wakuu wa Giza wanaomtumia huyo mama mkwe ndoa isifungwe, zingatia wakuu wa anga, bahari na nchi kavu wasizuie. Ndoa ni kitu chema lkn ibilisi anataka kuinua bega ashindwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…