Ngoja tusiende mbali sana...mama, mke na mtoto wote wana thamani...Tofouti ya thamani zao ni kama vile Almasi, dhahabu na fedha...Mama huwezi kumbadilisha ukazaliwa na mwingine, mke unaweza ongeza mke wa pili, na mtoto unaweza kuongeza wakawa watoto :bounce:Hivi thamani anatoa mama, mke, mtoto? hapa ni kumkalisha kiti moto huyo mume ajibu.
Nikununie kwa kosa gani? Halafu hapa online ntaanza tu kununa kwa mtu nisiyemfahamu hata yukoje...interest na mabo yake hayaingiliani kabisa na ya kwangu...ntaanza vipi Erotica?
Hapo chacha! haya naomba kakomenti kule nione mawazo yako basi.
Alafu acha kuzuga kua hatufahamiani.
Ngoja tusiende mbali sana...mama, mke na mtoto wote wana thamani...Tofouti ya thamani zao ni kama vile Almasi, dhahabu na fedha...Mama huwezi kumbadilisha ukazaliwa na mwingine, mke unaweza ongeza mke wa pili, na mtoto unaweza kuongeza wakawa watoto :bounce:
Shauri yako...ntakusaidiaje bwana...mi sikujui am sorry
teh teh teh. was I that bad conservationalist? mara umenisahau? hii imekula kwangu.:eek2:
Kweli imekula kwako....sina cha kuchangia kwenye ile mada...sijaielewa
We kweli unachekesha, mimi tamuokoa mama yangu sababu zidhani hapa duniani kuna kitu kina thamani zaidi ya mama yangu hata awe ana miaka 100+Ukiwa umebanwa mahala ambap mnaweza poteza uhai wenu, mamako ana miaka 55+
mke kaacha watoto vichanga wa miezi 3 hom. katia ya mama na mke wa kumuokoa ni yupi hapo?
We kweli unachekesha, mimi tamuokoa mama yangu sababu zidhani hapa duniani kuna kitu kina thamani zaidi ya mama yangu hata awe ana miaka 100+
Kichanga tutazaa kingine, afu kama kuna uwezekano talipa kisasi kila mwaka namzalisha mke wangu ili asahau kama aliwahi kuzaa mtoto akafa :bounce:
Mwambie hivyo mama mkwe wako kama hujala mwiko wa kichwa
heheeh kifo tena? siokoi hata mmoja, sheria yangu ni kwamba mbele ya kifo ni self service tu hakuna msaada wala mapenzi, kwa ufupi natimka mbio na kuwaachia sakata lao, tutaombana razi wakipona baadae.Ukiwa umebanwa mahala ambap mnaweza poteza uhai wenu, mamako ana miaka 55+
mke kaacha watoto vichanga wa miezi 3 hom. katia ya mama na mke wa kumuokoa ni yupi hapo?
mmmmh.:sleepy:
duh duh kukuna nazi??????????????????????????????????? kweli mimi mshambaDah! huyu mdada atakuwa anapenda kifo cha mende aisee, haka kamchumba kangu kanapenda kukuna nazi basi nakabeba yeye daily na uvivu wake. Nyambaaf. naomba kontakt za huyu daughter in law
Hawa watoto wetu wa Dot.Com bila kukaa nao vizuri wanaweza chezea mama mkwe
heheeh kifo tena? siokoi hata mmoja, sheria yangu ni kwamba mbele ya kifo ni self service tu hakuna msaada wala mapenzi, kwa ufupi natimka mbio na kuwaachia sakata lao, tutaombana razi wakipona baadae.
Kuwa selfish smtimes si vibaya.fazaa hapo nachekesha nini? nataka nijue upembuzi wako yakinifu uko vipi. Kulikua na
ugumu gani wa kujibu bila kuniambia nachekesha? Hapo umeshanionesha ni selfish.
kwa nini usife wewe mama yako akapona na mkeo ili akalee watoto wako? una garantee na Mungu wewe?
Smile unanilet down bana, ningefafanua lakini wabaikoko watahamisha srediduh duh kukuna nazi??????????????????????????????????? kweli mimi mshamba
Aisee hii inawafaa wale wanaolalamikaga hawafikishwi...yaani kitu inafika tumboni kabisa, hachukui raundi anamaliza!!Dah! huyu mdada atakuwa anapenda kifo cha mende aisee, haka kamchumba kangu kanapenda kukuna nazi basi nakabeba yeye daily na uvivu wake. Nyambaaf. naomba kontakt za huyu daughter in law