fane!!!!!subject: Daughter inlaw vs mother inlaw
mother-in-law: "my son must listen to me and obey my instructions, except if he did not suck this breast of mine for more than a year......."
daughter- in-law: Mama, "that was over 40 years ago!!!!!you must realize that it is my breast he sucks now. He has sucked it for more than 5 years and he is still sucking"
mother-in-law: " i carried him for 9 months....."
daughter-in-law: " he was only 3.5 kg, wasn't he? ...... So whats the big deal? I carry him every night and he is 110 kg now
Nilikuwa natania tu, nitakuokoa wewe beibe, nitahakikisha hata hako kaaiskrimu hakaanguki chini na kuingia mchanga.teh teh teh. klorokwini acha selfishness hata mmoja? hebu chagua tuone.
nataka nikupeleke hapa
nataka nikupeleke hapa
We kweli unachekesha, mimi tamuokoa mama yangu sababu zidhani hapa duniani kuna kitu kina thamani zaidi ya mama yangu hata awe ana miaka 100+
Kichanga tutazaa kingine, afu kama kuna uwezekano talipa kisasi kila mwaka namzalisha mke wangu ili asahau kama aliwahi kuzaa mtoto akafa :bounce:
Dah! Dr Rejao bana. ndio maana Cantalisia hakurisit mtihani wa baioloji kumbeAisee hii inawafaa wale wanaolalamikaga hawafikishwi...yaani kitu inafika tumboni kabisa, hachukui raundi anamaliza!!
sema siyo nzuri kama unataka kumpa mtu :mimba:
Kuwa selfish smtimes si vibaya.
Wewe unataka mimi nife sa nikifa mama yangu si atapata tabu mana kisha kuwa 55+ na mke wangu kuishi bila mimi we huoni itakuwa shida kwake....nimeamua kachanga kife sababu bado hakina dhambi, afu kumbuka vitabu vya dini vinasema nin...Huyo mtoto akifa atakupokea peponi kama wewe mtu wa peponi sababu hana dhambi.
Unapo niuliza kama na garantee na mungu, ungejiuliza pia je mama yangu na mke wangu na hako kachanga wao wana garantee na mungu!
kama unavyo vya kiume basi utakua tu.
Imagine majibu kama hayo halafu yana ukweli fulani hivi lol
klorokwini, ukishaisoma ifute...Cantalisia yupo vizuri sana kwenye haya makitu...Dah! Dr Rejao bana. ndio maana Cantalisia hakurisit mtihani wa baioloji kumbe
Nilikuwa natania tu, nitakuokoa wewe beibe, nitahakikisha hata hako kaaiskrimu hakaanguki chini na kuingia mchanga.
queenkami Sijasema napenda vichanga vife, hapo lazima ujuwe Erotica kauliza swali nichagua nani wa kumsave kati yao...Kama ni ushauri wangu sipendi kuwakosa wote lakini unapoulizwa nani bora kati yao apoteze maisha yake ni bora hako kachanga...Nadhani umenipata sasa.kwanza vichanga kwanini vife fazaa?
mama ana weza kuendelea kuvilea,hujaona mke anafariki wakati wa kujifungua then bibi anapokea mzigo wa kulea mtoto aliyeachwa na anakua bila shida.
zipo erotica well paid....tena wanalipa zaidi kile kitu unapenda...utapata variety kwa variety
Eti najioneysha nampenda mama yangu kuliko mke wangu....Mama yangu atabaki kuwa mama yangu na mke wangu atabaki kuwa mke wangu.Usinibabaishe na jibu lako la selfish. wote tupo selfish. swala ni kuchagua kati ya wawili.
katika situation kama hiyo wewe ndio unaweza tumia kama mtego wa kumjua kati ya mama yako
na mke wako nani anakupenda zaidi. Acha majibu ya kutaka kuonekana wamuhusudu sana mama yako
kuliko mke wako. Ukimchagua mama yako kama kweli ana mapenzi na wewe atakuambia na kukusihi
umchukue Mke wako na yeye umuache.
Ukimchagua mke wako ni lazima atakua na machungu na mama atakuuliza ni kwa nini umenichagua mimi.
ili akupe nafasi ya wewe kujitetea kwa mama yako indirectly. si nae ana watoto hom?
lazima ataelewa mamayako imemuuma vipi pale. tatizo tunataka straight answers.
samtimez ingine nenda beyond. 1+1 is not always 2. sometimes it is 11.