mama mkwe jeuri......

Ooh...oooh!!Mama: alipita huku "chini" mara 1Binti: ...anapita "huku" karibu kila siku....
 
waolewa watarajiwa ndo tuition hii mnapeana?
 
fazaa kuna wanawake wanawapenda waume zao lakini hawawapendi kabisa mama wakwe wala mawifi wala ndugu yeyote wa mume,yaani anataka kama vile awe na mume na ndugu zake yeye(mke) tu hao wengine wa mume ni wabaya wote.
queenkami ndo tunarudi pale pale huwezi kumpenda mme wake bila kupenda family yake....Ni sawa sawa kabisa huwezi kupenda watoto zako, bila kumpenda mama yao.
 
Kujipendekeza kwa mama mkwe sio kosa, kosa kujaribu kumhonga ili akupende...Mimi na amini wazi kabisa mama mkwe wako kama utamheshimu na kumpenda kama mama yako huwezi kupata tabu katika ndoa yako.
 
Kujipendekeza kwa mama mkwe sio kosa, kosa kujaribu kumhonga ili akupende...Mimi na amini wazi kabisa mama mkwe wako kama utamheshimu na kumpenda kama mama yako huwezi kupata tabu katika ndoa yako.
fazaa katika watu wasio hongeka ni mama wakwe. ................. lol... hawa watu kma hawamkupend hata umpe nini hawez kukukubali yaani atabaki analalama tu. Ndio maana kwangu mm huwa nasema nafanya yale ninayopaswa kuyafanya kama mtoto kwa mama na nina muheshimu sana kuliko hata mama yangu mazazi kwani yeye akiwa mtu wa ghubu basi anaweza kukufanya yale maisha uliyotarajia yawe ya raha hadi mwisho wa maisha yako yakawa karaha hadi ukatamani kukatiza uhai. Formula ya kuish na mama mkwe ni usiwe mchoyo, muheshim kuliko mama yako mzazi, usiwe karibu naye sana, na mwisho kabisa muelekeze mumeo katika kutimiza wajibu wake juu ya mama yake. Yaani usiumie nafsi kabisa katika hili.
 
gfsonwin safi sana, umeongea maneno mazuri sana na yenye faida nyingi.
 
Mama mkwee aaaah,mambo gani hayaa?Ngoja niwe mtazamaji kwanza!
 
gfsonwin safi sana, umeongea maneno mazuri sana na yenye faida nyingi.
hata wewe pia naona uko smart sana kwenye marriage sociology. unajua ukiangalia kwa makini wewe mwanamke mwolewaji unapaswa kuwa makini sana manake kule unakokwenda huna ndugu, na wala huwajui kibaya zaid hata watoto unaowazaa siyo akwako ni wa kwao. sasa unajishaua nini? kwenye ndoa ni kmyenyekea kwa kwenda mbele tena huku hakunaga uzungu hata siku moja. ukitaka jaribu uzungu sema mumeo aitwe kwa ubini wako uone lol..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…