Mama mkwe katuma tena SMS. This time nimemjibu, ebo!

Mkuu kama uliona thread ya kwanza huyu jamaa alosema kaoa miezi miwili tu iliyopita, sasa kwa speed hiyo ni balaa.
Mkuu ndo maana siku hizi vijana tumekuwa wajanja, tunaonja kabla ya ndoa na akionyesha dalili za kuvimbiwa mhogo ndipo unatangaza ndoa! Sasa labda mama mkwe anamlaumu kwann hakuanza mapema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Mama mkwe wako akiteta jambo dogo tu na wewe, basi wewe mbio jamii forum kulianika kwa umma. Usipokuwa makini mkweo atakuja kumchukua binti yake muda si mrefu
 
Hapo lazima, Mama Mkwe aombe pooooo pia, naamini unapiga mzigo kama Masfugerson trekta fulani hivi ilikuwa kali sana enzi za Mwalimu JK Nyerere.

Haaa haaaa haaaaaa haaaaaa teeeh teeeh.

Ila, ukiendelea hivi tarajia Mama mkwe wako akaja na akamchukua Binti yake home, maana hauna siri za nyumbani kwako na kwenu kwa ujumla.
 
Aiseee !! Kwani mkuu huna marafiki kabla ya Jamii Forum?, Kuna siku haya mambo atayajua mkweo ya kumnadi kwenye majukwaa na hapo ndipo utajua "Utu uzima dawa"

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
n
Aiseee !! Kwani mkuu huna marafiki kabla ya Jamii Forum?, Kuna siku haya mambo atayajua mkweo ya kumnadi kwenye majukwaa na hapo ndipo utajua "Utu uzima dawa"

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Thanks. Ni PM namba yako mkuu niwe nakuomba ushauri private
 
Uko sahihi ila hata ungekaa kimya ingefaa sana..hana mamlaka ya kuingilia faragha zenu
 
Wewe una dalili za ushoga


Sasa meseji za mkweo sisi zinatuhusu nini?

Ukisikia umbea ndo huo bado kuvishwa kanga tu.
 
HUYU MAMA MKWE AITHER ANAJUA MWANAE ANA MATATIZO, AMA UJAUZITO WA MWANAMUME MWINGINE AU ANAKUTAKA HAYO MAMBO GANI ?KHAAAAAAAAAA
inaezekana ana ujauzito wa mwwanaume mwingine yan kabla sijamuoa au?? hebu fafanua mkuu
 
 
n

Thanks. Ni PM namba yako mkuu niwe nakuomba ushauri private
Tafuta watu wako wa karibu sana ambao wanajua jema lako na baya lako, waweke wazi kuhusu hizo sms na mtafute njia ya kumfanya mama mkwe kuwa tofauti na alivyokuwa sasa kila siku kutuma sms kuhusu familia.

Na kama umekosa mtu wa kumshirikisha basi ni ahuweni uwe unajibu "sawa Mama" kila anapokutumia hizo sms zake bila kuongeza maneno, wewe mwambie sawa mama kila akituma jibu hivyo.

Ukijibu maelezo marefu na yeye atapata cha kuongea kuhusiana na jibu lako refu ila ukitoa jibu ambalo halizai swali atashindwa kukupa swali tena.

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
aaagghhhh kwa hali hii ni bora iwe hivo tu...amchukue ila arudishe pesa yangu nikalime mihogo mkuranga
 
SAWA MAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…