OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mama mkwe mwanao amekolea kwa kiwango ambacho sikutarajia. Hata mimi nimemwelewa sana tu japo nimeweka akiba ya baadae kabla sijafanya maamuzi ya kumpiga pingu za maisha.
Lakini sasa kunichunguza ameanza kuzidi. Yaani inafika wakati saa nane za usiku nastuka namkuta anapekua simu zangu, anazama kila kona ya simu. Kumbe amepata password. Huko nyuma Nilimpa ushauri simu ya mwanaume sio nzuri sana, akanielewa lakini anasema roho inakuwa inamuuma asipoigusa.
Bahati nzuri tu hajawahi kukutana na bomu la machozi lakini ipo siku yake.
Sijui huyu mtoto mtamu anahangaikia nini, maana sijawahi kuonyesha hata dalili za kuwa na mademu wengi. Nakiri nina mchepuko wa kubadilishia mboga lakini heshima ipo juu sana. Utadhani naachaga dushe nyumbani.
Unamuuliza shida ni nini, anasema nampiga mashine kitalaamu sana. Sasa roho inamuuma haamini kama anakula peke yake.
Mimi najitahidi kufuta nyayo zooote, lakini yeye anaanza kunusa nusa. Sijui kwa faida ya nani. Huyu mtoto si anatafuta presha za kijinga kabisa
Hii ni mwana kulitaka-mwana kulipata. Najua toto lako lipo humu, mshaurini aache utoto, akikaza komwe shauri yake.