Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #21
huyo mama mkwe wa jamaa ameolewa au yupo single??!!
Hajaolewa, halafu wala hata miaka hamsini hajaitimiza
Hajaolewa, halafu wala hata miaka hamsini hajaitimiza
Haaaaaaaaaaaaa mbavu sina. Wewe ni Yusufu wa kwenye Biblia ambaye alimkimbia mke wa Potifa kama wewe!Hongera kwa kuikimbia dhambi na Mungu akusaidie hivyo siku zote!ndio maana mi nlihama uswahilini.
nlikuwa naishi kwa mtogore, kila subuhi nikiamka mama mwenye nyumba anaomba anifulie nguo zangu.
nikawa namkatalia, lakini ikafika kipindi nikawa namuachia anifulie, akaanza kuniomba na funguo za chumba.
siku moja nikamkuta kalala kitandani kwangu uchi, eti kisa nina godoro la spring linampa raha sana.
cha ajabu akaendelea kujibakiza huko, nlipokuwa nakimbia kuuepuka utupu wa mtu mama mzima kama mama yangu akaanza kulia, eti ninamtesa
haaaaaaaaaaaaa mbavu sina. Wewe ni yusufu wa kwenye biblia ambaye alimkimbia mke wa potifa kama wewe!hongera kwa kuikimbia dhambi na mungu akusaidie hivyo siku zote!
baki uswazi mkuu yaani kuna raha sana ushuani noma tupuVituko hivi ndio vinavyonifanya nizidi kukupenda uswahilini na wala sina mpango wa kuhama leo wala kesho.
Halafu nikihamia ushuani, kuku wa kienyeji ntapata wapi?
Si unajua tena mijikuku ya kisasa haina ladha zaidi ya kupiga puga kelele zisizo na mvuto
Haaaaaaaaaaaaa mbavu sina. Wewe ni Yusufu wa kwenye Biblia ambaye alimkimbia mke wa Potifa kama wewe!Hongera kwa kuikimbia dhambi na Mungu akusaidie hivyo siku zote!
Visa viliendelea, kuna siku akanijia kanuna sana, akawa anasema kuna kibaka anafukuzwa kwa hiyo kakimbilia chumbani kwangu, nikamhakikishia kuwa hamna mtu ameingia, akasema lazima aingie ili amsake na kumtoa nje, nyumba yake isije ikaonekana ni maficho ya wezi na vibaka. Maneno yake yalikuwa makali na mimi nilikuwa nauhakika kuwa hamna aliyeingia.
Nikamruhusu aje kupekua.
Alipokuwa anachungulia uvunguni, akanyanyua juu sketi yake na kubaki utupu kabisa, kwani hakuvaa kile kijivazi kidogo cha ndani, akatoka akanifuata na kuanza kunisogezea mdomo wake kwangu, nikampush nikasema kuwa mimi sio kibaka amchukue kibaka wake kisha aondoke.
Alipo ona nimekuwa mkali sana kwake akaamua kunichunia, na akawaa ananitishia atanifanyia kitu kibaya.
Nikaona isiwe kero nikahama.
Siku yangu ya kuhama akaanza kulia, eti nsihame, ananipenda na hawezi kuishi bila mimi.
jamani,mtu mzima nae anataka damu changa.kwa kuwa mtu mzima,na yeye asipendwe?ndio maana mi nlihama uswahilini.
nlikuwa naishi kwa mtogore, kila subuhi nikiamka mama mwenye nyumba anaomba anifulie nguo zangu.
nikawa namkatalia, lakini ikafika kipindi nikawa namuachia anifulie, akaanza kuniomba na funguo za chumba.
siku moja nikamkuta kalala kitandani kwangu uchi, eti kisa nina godoro la spring linampa raha sana.
cha ajabu akaendelea kujibakiza huko, nlipokuwa nakimbia kuuepuka utupu wa mtu mama mzima kama mama yangu akaanza kulia, eti ninamtesa
ndio maana mi nlihama uswahilini.