Mama mkwe mpiga chabo

Mimi ilishawahi kunitokea, nilishalala na mama mwenye nyumba kama mara 3 kijitonyama, mume wake ni dereva, siku nilipokataa kura nae uroda akanipa notes ya siku tatu, fasta nikahama.
 
Wakwe wengine wana laana zao za kurithi.
 
Bujibuji ya kweli haya? mpiga chabo na tochi??? nachofikiri akiwa na tochi ataonyesha mwanga ndani na wakiwa wamewasha taa ni rahisi sana yeye kupiga chabo
 
Pole sana kama ni story ya kweli. Kwa upande mwingine mama wa watu hukumtendea haki!
 

Yaani unajifanya ulikuwa mtakatifu?? :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
Sema tu ulim-do tukupe hongera
Mwanamke anajileta mpaka chumbani kwako, anakufunulia unajifanya huelewi??
Acha zako
 
Yaani unajifanya ulikuwa mtakatifu??
Sema tu ulim-do tukupe hongera
Mwanamke anajileta mpaka chumbani kwako, anakufunulia unajifanya huelewi??
Acha zako

Tehe tehe, raha sana! wadau walivyokukomalia???!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…