Acha kuleta neno la uislamu pls, sidhani kama wewe ni muislamu, usilamu wako ni wajina tu la kislamu.
Mimi mwenyewe nikijisema muislamu huwa naogopa naona kama nimekosea, mana mimi niko tofaouti kabisa na uislamu na mafunzo yake...Uislamu sio lele mama.
Mimi nakuombea mungu ajalie mama mkwe wako akubali uolewe na huyo, mana nataka uondoke kwenye uislamu wa jina...Uislamu hautaki watu type kama zako :biggrin:

Kuwa na msimamo kwenye dini yako aise....ni kama alivyosema Kongosho kuwa mkija kukorofishana utajiona ulifanya kosa kubwa sn kwakweli. lakini hii inadhirisha ni namna gani dini yako haijakuingia vzr ndugu. nakuombea kwa Mungu akuongoe.
Sasa hujaelewa wapi na wewe, mbona nimeaongea kiswahili kwani wewe umeona kibantu hapo.Hueleweki naona unarudiarudia uislamu oh uislamu cjui ndo umemaanisha nini
Acha kuleta neno la uislamu pls, sidhani kama wewe ni muislamu, usilamu wako ni wajina tu la kislamu.
Mimi mwenyewe nikijisema muislamu huwa naogopa naona kama nimekosea, mana mimi niko tofaouti kabisa na uislamu na mafunzo yake...Uislamu sio lele mama.
Mimi nakuombea mungu ajalie mama mkwe wako akubali uolewe na huyo, mana nataka uondoke kwenye uislamu wa jina...Uislamu hautaki watu type kama zako :biggrin:
Hueleweki naona unarudiarudia uislamu oh uislamu cjui ndo umemaanisha nini
Wa-aleykum salamu hata mimi imani zero aisay, lakini sipendi kuona watu wenye majina ya kislamu wanachafua uislamu, si bora tubane kimya kimya tu.Asalam aleykum Fazaa??? Kwema huko ndugu yangu katika imani???...
Wa-aleykum salamu hata mimi imani zero aisay, lakini sipendi kuona watu wenye majina ya kislamu wanachafua uislamu, si bora tubane kimya kimya tu.
We hujaona Osama alivyo uchafua uislamu, wakati uislamu hauko vile.
Na huyu anataka kuchafua eti yeye musilamu, anataka kuingia dini ya kikristo angekuwa musilamu angesema hivyo.
Jaman mimi nampenz wangu tunapendana sana tunazaidi ya mwaka na tumepanga kuoana lakin tatizo ni mamamkwe aliona sms zangu kwa mwanae sasa ni mlokole hanitak mimi ni muislamu lakn niko tayar kubadili dini anaomba na kusali tuachane kupitia wafanyakazi wenzake kaona picha zangu za fb.
Ameen yarab, asante sana ndugu.Nimeshangaa pekeyangu kama kweli mtu kaiva kiimani anaweza kuwa rahis hvo kukimbilia kubadili dini.
Tumuombee kheri na subra pengine atabadili msimamo wake...
Afu atapendaje asipopendwa? "Mamamkwe hanitaki" bado anataka kubadili imani yake mweeee...