Hapa ueleweki kwamba upo kwenye Muhadhara au MMU? hivi uislamu siku hizi unaruhusu kutumia Internet?
Dogo uislamu hauja kataza hata siku moja mtu kutumia internet umeipata wapi hio naona mpya kabisa....BTW; Uislamu una taka watu wawe na elimu na mungu kasema hapendi wajinga, ndo mana usilamu unatuambia tuvikubali vitabu viliyo letwa na prophet wengine kama vile Moses na Jesus lakini sio mlio vitunga mkasema vimetoka kwa Mungu au Jesus.
FYI dogo uislamu ulitabiri internet, ndege gari kabla havikuwepo kama hujui uliza na utapewa aya...kasome sura Yasini utavipata vyote hivyo.
Usingie kwenye dini usio ijua, mana waislamu hata watu kama mimi bado tuko katika 1st stage ya uislamu, tunaijua Qur'an na tunazijua bible zenu vizuri, mkija na speed kali tunawazima kwa bibile zenu wakati nyie mnatembea nazo usiku na mchana lakini bado hamzijui zinasema nini.
Narudia tena, mimi nimesema toka mwanzo ni muislamu jina tu, yani bado sana kusema mimi ni muislamu:biggrin:
Bora unyamaze na usilete u dini hapa ndo mana nilimueleza mtoa mada asinge sema usilamu kwenye swali lake, angesema mimi na dini tofouti tusinge ingia hapa...lakini point yake ilikuwa anatafuta shari kwa wa islamu na wenye akili tumeisha mjua huyo si muislamu ni mnafiki wa kislamu.
Narudia mkileta dini mtaumia mana naijua bible na humo humo kwenye bible zenu tawapigana nayo kama mlivyo kimbia kule kwenye swali la kuoa mke wa pili.