Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Baada ya Uzalendo kumshinda Mama ake Hamisa, amevunja ukimya nakumuombea Msamaha mtoto wake Huyo Wa pekee .Kama kuna popote mwanae kakosea yeye Kama mzazi hafurahishwi kinachoendelea Kwa mwanae anaomba asamehewe.

Mtoto wake nae anapinda mno kupigwa miti
 
Baada ya Uzalendo kumshinda Mama ake Hamisa, amevunja ukimya nakumuombea Msamaha mtoto wake Huyo Wa pekee .Kama kuna popote mwanae kakosea yeye Kama mzazi hafurahishwi kinachoendelea Kwa mwanae anaomba asamehewe.

View attachment 795431

Anza kwanza kulionya hilo toto lake juu ya tabia za kishenzi. Wizi, uwongo, uchonganishi, upashikuna, uharibifu , kuingilia mahusiano ya watu na kuwatukana.

Ningeona unamaanisha kama ungelimwambia huyo mwanamke unayemwita mtoto wako kama engeomba msamaha na kuacha upumbavu wake wa kulazimisha mahusiano na mtu kwa kisingizio cha mtot okumbe ni uma.alaya wake. Kutukana watu wazima bila aibu na kusema matusi mitandaoni utadhani halikuzaliwa na wala halijazaa. Pumbavu sana hilo jianajike.

Hakuna binadamu ambaye hawezi kujuta kuwa na mahusiano na jitu chafu kama hili.

Kwa nini mambo kama haya hayazungumzii?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…