Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]hatwaaariii!mama weee!hawayaoni hayo kumbe nae ni home breaker ila alikutana na wajanja wenziwe[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Umeona hamisa anachangiwa pesa nenda kwa original least
 
Weeee karudie clip ya Bbc uone zari anasema mwenyewe hajaombwa msamahaaa

Wewe naye ile ilikuwa siku visiku hata sio mwezi tangu ua jeusi.
Na mengine alisema hayaongelei.. kama ilivyo sasa hajasema kilichojiri zaidi ya zawadi kutoka kwa mzazi mwenzie au mumewe.. eeeeh utalia ati
 
Kinachomponza hamisa mkwanja tu hata mm ningeenda kuliko na neema mambo ya kupelekana mahakaman kwa ajili ya matunzo ya watoto nani anataka?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] a nafanya vtu ka mtoto ila alivoachana na Dai ndo akaanza kuwapenda wale wanae wakubwa
Mnaafiki kama wengine

Ila wale watoto wangekua wa kike sijui ingekuaje!
 
Kuna wengine wembamba ila wamejaaliwa ingekuwa Hivyoo majei asingebanduka hapo nani Hataki Tamuuuuuuu
 
Utafikiri ndo kabalehe mi kule kushikana na wale wanawe wakubwa vile ni aibu hata kama ni mapenzi ngumu kumeza
Sanaa!timu yake watakuambia ndo kupendwa kaaah

Mtu hajakuoa kweli[emoji3][emoji3][emoji16]hapana
 
Onaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…