Mama Mobetto atoa ya moyoni sakata la kuporwa bwana na mama Diamond


Kwa hiyo diamond inabidi ampe saluti huyo msela sababu anamfanya mamaake!! Huyu msela si atakua anatamba vijiweni huyu? Dah mambo mengine jamani hadi aibu!!
 
Mama diamond anafanya masahihisho anatamani umri ungerudi nyuma afaidi
 
Huyo mbona hafananii kuoa mamaza kama hao
 
Hapo ndio ninapo wazaga sana yan "WEMA SEPETU ANATAKA SAA YA GOLD HUKU ZARI ANAUJALI MUDA''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…