Ndiyo tatizo la wanasiasia wa Bongo.Yaani huwa wanongea mambo kama wanatoka Ahera,anaweza akawa na wazo zuri ila katumwa na Flani.Halafu Ni Hao Hao Watakuja Kununua Kwa Majina Mengine -- Mongela Ndio Anasema Sasa Hivi Lakini Mpango Huo Upo Toka Mwaka Juzi Kwamba Hizo Kampuni Zitataifishwa Watazinunua Wao Wenyewe Kisha Waje Kuuza Bidhaa Zao Kwa Watanzania