Osaka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 1,762 Reaction score 553 Feb 28, 2012 #341 FairPlayer said: Mnataka wakale wapi? polisi? acheni kununuliwa wakati wa kupiga kura ndo mtapata viongozi safi. Atatumia hizo hela kununua kura tena! Click to expand... Na safari hii ameweza kununua kura tena huyu- Msilanga ?
FairPlayer said: Mnataka wakale wapi? polisi? acheni kununuliwa wakati wa kupiga kura ndo mtapata viongozi safi. Atatumia hizo hela kununua kura tena! Click to expand... Na safari hii ameweza kununua kura tena huyu- Msilanga ?
J joa Member Joined Jan 21, 2012 Posts 22 Reaction score 0 Mar 3, 2012 #342 hii ni hatari ya mazoea au tabia zetu watanzania tushazoea kuajiri ndugu basi tunajua kila mahali ndio hivyo.
hii ni hatari ya mazoea au tabia zetu watanzania tushazoea kuajiri ndugu basi tunajua kila mahali ndio hivyo.
D dav22 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 1,887 Reaction score 312 Mar 6, 2012 #343 da aisee yaani CCM kila mtu fisadi tu kudadeki aisee hii kali
N naivasha Member Joined May 13, 2011 Posts 94 Reaction score 29 Mar 20, 2012 #344 Kingunge tena? Huyu pia si anahusika na ufisadi wa UBT au? Magamba kwa ufisadi we acha tu!
longi mapexa JF-Expert Member Joined Jul 18, 2015 Posts 3,265 Reaction score 4,250 Sep 14, 2017 #345 ndiyo maana aliweza kusema hatujui kutongoza!