CASH MONEY BROTHER-CMB
Member
- Apr 6, 2020
- 21
- 93
Hilo ndiyo jibu alilokuwa nalo.Wewe ulitegemea akujibu vipi,kwani ni uwongo usingepata raha bali mateso?Wiki jana nilienda Pharmacy moja kubwa tu maeneo ya magu mjini pembeni ya stand,nikamkuta mama mtu mzima kama miaka 50 hivi mnene kapanda hewani,Lengo la kwenda ile pharmacy ilikuwa kununua vidonge vya kuongeza nguvu za kiume maarufu,viagra!
Yule mama akanieleza bei ni 2000 kwa kidonge kimoja nikamuomba anipunguzie bei afanye 1000 ili nichukue vidonge vitano niweke na akiba!Yule mama akanikazia macho usoni kisha akajibu "Huna hata huruma yaani raha zote unazoenda kupata bado unataka nikupunguzie bei!"
Jibu lake linafikirisha sana!

Hilo ndiyo jibu alilokuwa nalo.Wewe ulitegemea akujibu vipi,kwani ni uwongo usingepata raha bali mateso?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulizidi ugumu dah upunguziwe buku kwa tabs.
Alikuhurumia usije kufa kwa HBP ndo maana alikujibu vile