ha ha ha!mi nimesema ''mpango wa nje'' bana!Hivi TEAMO hii 'MAMBO YA NJE' unamaanisha 'NJE CUP' au?
Mimi naona bora 'MAMBO YA NDANI' siku moja moja unaigeuza inakuwa 'MAMBO YA NJE'
ok! Basi ni-pm unielezee vizuri maana itakuwa kazi kidogo mimi kuwa-identify hao wanaochukua waume za watu afu nikawafata! Hawapendagi kujulikana ujue? Sasa mi ntawajuaje...? Itabidi tu unielezee....
As long as mama mwenye nyumba hajui kile kinachoendelea kuhusu mpango wa nje, I think kila mtu anaenjoy kwa wakati wake!!
ngoma droo hapo....................
je kama mimi nachukua mke wa mtu unategemea nikwambie what do i get kwa huyo mke wa mtu? Je kama wewe ni mume wa huyo mtu ha ha ha just kiddin all in all ni vitu vya kawaida kuvisikia katika jamii yetu so just hang on utasikia tu siku moja
ha ha ha!mi nimesema ''mpango wa nje'' bana!
sasa hiyo ''mama mwenye nyumba'' tageukaje na kuwa ''mpango wa nje''?
Nyie wenyewe ndio mna cause those difficulties unajua halafu unakaa kimya for the sake of protecting your marriage i guess your an angel mbona mkipigwa mwasemaEheeeeee!!!!!!!Hivi unafikiri hawajui...?Hii statement huwa naisikia kwa wanawake wengi sana sasa sijui kwanini wanalalamika if they knowThey are just not telling u what they know coz they are wise enough to know that they don't want their families to fall apart,
but they know and they live in such horrible circumstances!! How difficult it is to being a woman...and more difficult when u are married!
sasa smiles hebu niambie.....Hivi unafikiri hawajui...? They are just not telling u what they know coz they are wise enough to know that they don't want their families to fall apart, but they know and they live in such horrible circumstances!! How difficult it is to being a woman...and more difficult when u are married!
Aisee inawezekana kabisa 'mama mwenye nyumba' siku moja moja akageuka kuwa 'nje cup'....na hapo ndo utamu wa ndoa huwa unaanza
kiuhalisia mpango wa nje ndo unabenefit hapo kuliko mwenye nyumba,,,na mbaya zaidi mwanaume mwingine anapokuwa akifanya infii anaeleza weakness za mke wake though smtyms ni za uongo,,,so mpango wa nje unajaribu kucheza na gaps ili kuweza kizifill,,,ila ikatokea mambo yakabadilika mpango wa nje ukawa mwenye nyumba,,mlango mwingine unafunguliwa fasta!since there is no miss/mr perfect kwa hiyo unakuta infii kwa walio wengi haiwezi kukoma in actual fact!inaumiza sana
UMENIKUNA HAPO MAMA!......kiuhalisia mpango wa nje ndo unabenefit hapo kuliko mwenye nyumba,,,na mbaya zaidi mwanaume mwingine anapokuwa akifanya infii anaeleza weakness za mke wake though smtyms ni za uongo,,,so mpango wa nje unajaribu kucheza na gaps ili kuweza kizifill,,,ila ikatokea mambo yakabadilika mpango wa nje ukawa mwenye nyumba,,mlango mwingine unafunguliwa fasta!since there is no miss/mr perfect kwa hiyo unakuta infii kwa walio wengi haiwezi kukoma in actual fact!inaumiza sana
aisee inawezekana kabisa 'mama mwenye nyumba' siku moja moja akageuka kuwa 'nje cup'....na hapo ndo utamu wa ndoa huwa unaanza
kiuhalisia mpango wa nje ndo unabenefit hapo kuliko mwenye nyumba,,,na mbaya zaidi mwanaume mwingine anapokuwa akifanya infii anaeleza weakness za mke wake though smtyms ni za uongo,,,so mpango wa nje unajaribu kucheza na gaps ili kuweza kizifill,,,ila ikatokea mambo yakabadilika mpango wa nje ukawa mwenye nyumba,,mlango mwingine unafunguliwa fasta!since there is no miss/mr perfect kwa hiyo unakuta infii kwa walio wengi haiwezi kukoma in actual fact!inaumiza sana
sasa smiles hebu niambie.....
KUNA UMUHIMU GANI WA MWANAMKE KULAZIMISHA KUOLEWA ''KWA MAANA YA KUHESHIMIWA''?.....mbona wasioolewa na wakawa ''mpango wa nje'' wanainjoi zaidi kuliko hata kuliko yenyewe?
UMENIKUNA HAPO MAMA!......
sababu nyingine ya kuja arusha