Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.if that being the case........!kwanin wanawake wanadhani NDOA ni ni nzuri?
lakin mama wa kwanza hebu nambie hapo,ninyi mkiwa na ''MPANGO WA NJE'' (hasa akiwa mfupi na sio mweupe) huwa mnafanyaje/mnakuwaje?kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?
kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?
Mpango wa nje = MPANGO MZIMA
Ntaongea na hommie Teamo baada ya kukonkludi hii mada.....then inakua chatrum mpaka hapo invisible watakapo imuvuzisha!niko mlimani naombea chatrum,,,na.....mungu aniepushe na mpango wa nje
lakin unadhan mkuu kwa kufanya hivyo utakuwa umetibu ugonjwa huu wa ''mpango wa nje''?Mpango wa nje una matatizo sana utakufilisi haraka,mi naona tuwapende MOTHER HOUSE wetu na 2wape hiyo Mambo yote 2one kama watashindwa kufanya.
MOTHER HOUSE = MPANGO MZIMA
Hivi mama mwenye nyumba wako naye akigeuzwa mpango wa nje na mtu mwingine doh!!!! Sijui inakuwaje hapo
mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?
Mpango wa nje una matatizo sana utakufilisi haraka,mi naona tuwapende MOTHER HOUSE wetu na 2wape hiyo Mambo yote 2one kama watashindwa kufanya.
MOTHER HOUSE = MPANGO MZIMA
mpango wa nje una matatizo sana utakufilisi haraka,mi naona tuwapende mother house wetu na 2wape hiyo mambo yote 2one kama watashindwa kufanya.
mother house = mpango mzima
lakin unadhan mkuu kwa kufanya hivyo utakuwa umetibu ugonjwa huu wa ''mpango wa nje''?
kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?
hilo swali kwakweli kila mtu atakuwa na majibu yake......Yap coz utakuwa unapata raha zote unazozitaka Pls mkuu 2wape nafasi!!!
Hivi MPANGO WA NJE nini cha zaidi mkuu?????
Heartbreaker anasema utoe hiyo sentensi yako hapo.kwakweli kwa maisha ya sasa ndoa hata sio nzuri.mie siitamani kabisa,hasa nikiyafikiriaga hayo uliyoeleza hapo kuhusu mpango wa nje.
wanaume wengi ni wajinga.mbona wanawake hata tukiwa na mpango wa nje hatuwi hivyo?
mambo mengine unayomfanyia mpango wa nje huwezi yaleta kwa mother house, unaweza pata laana!!!!!!ndoa na iheshimiwe
Ntaongea na hommie Teamo baada ya kukonkludi hii mada.....then inakua chatrum mpaka hapo invisible watakapo imuvuzisha!
BTW mzima wewe...missing you big tym!