''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

MKUU INJINIA.....!
ashakum SI MATUC naomba niwe straight kumsaidia bacha!

what if ''mpango wa nje'' anatoa ''mlango wa dharura''? utaenda kwa mkeo kuomba akupe ''imejens exit?''
 
Skiza Dogo.

Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja. Wanawake wanalielewa na kulikubali hilo. Mwanamke anapoamua kuolewa anakuwa ameshakubali kuwa mama wa familia, wa kumtunza mme na watoto, katika shida na raha, huku akijua kuna mwanamke/wanawake wenzie wanaomsaidia japo kwa siri. Anachofaidi ni uhakika wa joto la mwanaume wakati wa usiku, ulinzi imara wa mwanaume, watoto wa kumuita mama, heshima mbele ya jamii nk nk nk

Mpango wa nje ni tofauti na mama mwenye nyumba. Unajua hauna uhakika wa umiliki wa mwanaume kwa 100%. Unajua mwanaume huwa haridhiki na mama mwenye nyumba ambaye anakuwa bize na majukumu ya kifamilia. Kwa hiyo nao unahitaji kile ambacho hauna uhakika wa kukipata kila siku. Na mwanaume akinogezwa mpango wa nje unapewa heshima, huduma na shughuli inayostahili.

Nani anayefaidi? Inategemea: Mwingine anafaidi heshima, ulinzi wa uhakika na joto la mwanaume wakati wa usiku. Mwingine anafaidi penzi la kiukweli la kijinsia na huduma kama alizozitaja mheshimiwa Teamo.

Wanawake ndio wanajua nani anafaidi zaidi, na wana hiari ya kuchagua. Kwakuwa NDOAS are ARE THERE TO EXIST and INFIDELITY IS THERE TO STAY.

Narudi kitandani kulala.
 
MKUU INJINIA.....!
ashakum SI MATUC naomba niwe straight kumsaidia bacha!

what if ''mpango wa nje'' anatoa ''mlango wa dharura''? utaenda kwa mkeo kuomba akupe ''imejens exit?''
Kama una-imejens unaenda kuji-express kwa Mpango wa nje.
 
lakin mama wa kwanza hebu nambie hapo,ninyi mkiwa na ''MPANGO WA NJE'' (hasa akiwa mfupi na sio mweupe) huwa mnafanyaje/mnakuwaje?
Habari yake banaaaa! hahahaha!!
 
ha ha ha ha ha!
hii ni XXL
 
hilo swali kwakweli kila mtu atakuwa na majibu yake......

lakin mi naamini kuna kitu ambacho ''wanaume wengi'' kimekuwa kama fumbo hivi kwetu......!yani mtu unajikuta tu umeangukia kwenye ''mpango wa nje'' bila hata kujua.YOU FIND YOURSELF IN!

Hii inatokana na MOTHER HOUSE kutokuwa wabunifu katika Majamboz!! Pls 2peane mambo bila kuogopa hizo 2nazoziita laana!!! Uone kama utaenda kwa MPANGO WA KANDO coz unachokpata huko MOTHER HOUSE anakupa!!
 
sitaki kushangaa mkubwa......zinatoka kwako zinaenda kwa Teamo,.sasa nani mjinga hapo??!!!!

Hivi hatibreka umesema hii mada ina-share dinomineta sio? so tukonstreti na denominator tu au?
 
Yap coz utakuwa unapata raha zote unazozitaka Pls mkuu 2wape nafasi!!!
Hivi MPANGO WA NJE nini cha zaidi mkuu?????

Engineer tatizo hapo ni huo muda wa kuwapa hao mother house kwani wametingwa na majukumu, kiasi kwamba hakuna tena innovative ideas kama zile zilizopo mpango wa nje!!!!raha zinazopatikama kwa mother house zipo na zitaendelea kuwa maintained hio haina ubishi, na hizo raha ndio zinazoleta mpango mzima!Lakini mpango wa nje kuna taste zake kamwe huzipati kwa mother house hata ukatambike!!!!
Lakini kumbuka mother house wako anaweza kuwa mpango wa nje wa mtu mwingine!sasa sijui hapa ni kiini macho au ni kama vicious cycle fulani!!!!mmmmmmh kazi ipo............
 
lakin mama wa kwanza hebu nambie hapo,ninyi mkiwa na ''MPANGO WA NJE'' (hasa akiwa mfupi na sio mweupe) huwa mnafanyaje/mnakuwaje?
sasa hapo inategemea na mtu na mtu.yawezekana baba mwenye nyumba naye akawa mfupi na mweusi kama mpango wa nje haitokuwa na neno.siku zote huwez tafuta mpango wa nje usiokupa raha au kukuvutia.kwa mie siwez tafuta mpango wa nje mweupe
 
hapo mzee LOUD and CLEAT umesomeka
 
lakin mama wa kwanza hebu nambie hapo,ninyi mkiwa na ''MPANGO WA NJE'' (hasa akiwa mfupi na sio mweupe) huwa mnafanyaje/mnakuwaje?

hahahahahahahahhhhh
 
MKUU INJINIA.....!
ashakum SI MATUC naomba niwe straight kumsaidia bacha!

what if ''mpango wa nje'' anatoa ''mlango wa dharura''? utaenda kwa mkeo kuomba akupe ''imejens exit?''

Duh!!! Laana hiyo kama alikuwa anamaanisha hivyo ASHINDWE kwa JINA LA YESU!!!!
 
sasa hapo inategemea na mtu na mtu.yawezekana baba mwenye nyumba naye akawa mfupi na mweusi kama mpango wa nje haitokuwa na neno.siku zote huwez tafuta mpango wa nje usiokupa raha au kukuvutia.kwa mie siwez tafuta mpango wa nje mweupe
haya bana!
tuendelee na sredi ili mtiririko uwe unaeleweka
 
Duh!!! Laana hiyo kama alikuwa anamaanisha hivyo ASHINDWE kwa JINA LA YESU!!!!
pamoja na hilo pia kuna ''vionjo'' fulani ambavyo nadhan kwa ''mama mwenye nyumba'' vinakuwa vinamiss ndo maana ''ma-rijali'' wengi wanakuwa na project-mpango wa nje
 
sasa hapo inategemea na mtu na mtu.yawezekana baba mwenye nyumba naye akawa mfupi na mweusi kama mpango wa nje haitokuwa na neno.siku zote huwez tafuta mpango wa nje usiokupa raha au kukuvutia.kwa mie siwez tafuta mpango wa nje mweupe

Doh!!!! Ha ha ha ha ha BACK TO TOPIC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…