Mama mwenye nyumba wangu ananipangia marafiki wanaokuja kunisalimia

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mimi ni mpangaji wa nyumba hapa Goba, lakini cha kushangaza mama mwenye nyumba ananipangia marafiki wanaoweza kunisalimia. Sifahamu sababu ya kufanya hivyo na ninahisi inaninyima uhuru wangu binafsi licha ya kulipa kodi kwa wakati.

Je, nifanye nini katika hali kama hii, nataka kuhama?
 
Mimi ni mpangaji wa nyumba hapa Goba, lakini cha kushangaza mama mwenye nyumba ananipangia marafiki wanaoweza kunisalimia. Sifahamu sababu ya kufanya hivyo na ninahisi inaninyima uhuru wangu binafsi licha ya kulipa kodi kwa wakati.
Unaonekana unavusha sana😀😀
 
Hivi mnawezaje kupanga nyumba ambayo mama mwenye nyumba ana kaa hapo?
 
Tatizo sio yeye ni wewe
Mind your own business
Dont sink in other people business

Akija kukuzingua kua kama humuoni kikubwa lipa kodi na michango yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…