Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Kama ni mndengereko, uguswaye na ufahamu...Body language inawsilisha ujumbe kaka...sasa kama hujawahi kunyofolewa nyeti jaribu kurespond positively!...usidanganyike kuwa baba mwenye nyumba ni dereva wa magari makubwa ya Lubumbashi ...lol!Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.

hama hiyo nyumba
Atasema ndio amelipa juzi kodi hata mwezi haujaisha
Haya mwache asubiri, mwenye nyumba ampande!
MKUU mimi nakushauri uhame hiyo nyumba halafu jaribu kuepuka kuwa nae karibu, atakuharibu, na atakuharibishia pia. Inaonekana na wewe uko karibu sana na huyo mama, mara kalio, mara akupige Ikulu. Achana nae.Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
wakati ankwambia vichapo vyote nyetini....!! apewe mjengo!!makubwa hayo, mkalishe chini muulize ni nini anachokitaka kutoka kwako/