Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
- Thread starter
-
- #21
Kabla ya kukushauri kwanza sema mumewe huyo mama yuko wapi?na huyo mama yukoje ki muonekano na kitabia?
Mpeleke mpenzi wako ukae nae hata siku mbili tatu. Labda mother house ameona una unyege.
chapa ilaleKila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
Mpe dose hata kodi utasamehewa
Nilijaribu kuleta msichana pale kwangu, ugomvi ukawa ni mkubwa sana, akamvalia msichana wangu kibwebwe
mkaushie mpaka akubake
Hana mume, ana watoto watano, kila mtoto ana baba yake.
Nilijaribu kuleta msichana pale kwangu, ugomvi ukawa ni mkubwa sana, akamvalia msichana wangu kibwebwe
......Kabla ya kukushauri kwanza sema mumewe huyo mama yuko wapi?na huyo mama yukoje ki muonekano na kitabia?
Kwa kuwa tatizo linatokea mnapopishana nae, badiri njia usiwe unakutana nae.Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
kama imeshindikana hiyo, na kama kuhama huwezi, mwambie uko na ngoma na akileta za kuleta utamuambukiza. akikusogelea tena ujue hilo ni jini si binadam. hii ni solushen ya mkato na haina gharama.
-THE END-
kama imeshindikana hiyo, na kama kuhama huwezi, mwambie uko na ngoma na akileta za kuleta utamuambukiza. akikusogelea tena ujue hilo ni jini si binadam. hii ni solushen ya mkato na haina gharama.
-THE END-
Hana mume, ana watoto watano, kila mtoto ana baba yake.
Jana usiku mvua ilinyesha, sikuwepo home wakati mvua ikinyesha, hivyo basi sikuwa na stock ya maji ndani.
Nikatoka nikaenda kijiweni kutafuta wauza maji, nliporudi nikamkuta mama mwenye nyumba wangu yuko chumbani kwangu akipiga deki huku akiwa na chupi tu.
Niliishiwa nguvu na kukasirishwa, nimemwambia asiingie tena ndani mwangu, akaniambia kuwa ananipenda sana na ameshindwa kuzizuia hisia zake, ameniambia anaona hata aibu kunidai pango la nyumba.
Jamani mimi sitaki tena kukaa kwenye nyumba hiyo, naomba msaada wenu nipate nyumba haraka.