Jana usiku mvua ilinyesha, sikuwepo home wakati mvua ikinyesha, hivyo basi sikuwa na stock ya maji ndani.
Nikatoka nikaenda kijiweni kutafuta wauza maji, nliporudi nikamkuta mama mwenye nyumba wangu yuko chumbani kwangu akipiga deki huku akiwa na chupi tu.
Niliishiwa nguvu na kukasirishwa, nimemwambia asiingie tena ndani mwangu, akaniambia kuwa ananipenda sana na ameshindwa kuzizuia hisia zake, ameniambia anaona hata aibu kunidai pango la nyumba.
Jamani mimi sitaki tena kukaa kwenye nyumba hiyo, naomba msaada wenu nipate nyumba haraka.
Atamwambia anakula mbolea..(ARV)kama imeshindikana hiyo, na kama kuhama huwezi, mwambie uko na ngoma na akileta za kuleta utamuambukiza. akikusogelea tena ujue hilo ni jini si binadam. hii ni solushen ya mkato na haina gharama.
-THE END-
MIKELA + KIRANJA MKUU = ?; mikela = kiranja mkuu
umestukia eeh? Halafu sehemu zingine linajijibu lenyewe. Mijitu mingine bwana.
mikela + kiranja mkuu = ?; mikela = kiranja mkuu
mmh! Kaka hama hiyo nyumba kama unaweza samehe kodi. Au kama vipi usipende kushinda nyumbani. Tafuta company hata ya mdogo wako wa kiume ukae nae.
Nahisi hatari inakunyemelea.
MIKELA + KIRANJA MKUU = ?; mikela = kiranja mkuu
umestukia eeh? Halafu sehemu zingine linajijibu lenyewe. Mijitu mingine bwana.
watu wanajianzishia thread wenyewe na kujijibu wenyewe
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
hama kwenye nyumba yakeKila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
Je wewe una mke na yeye ana mume? kama hivyo ndivyo mwambie kwa ukali sipendi kudhalilishwa tena uwe serious hasa, akiendelea mwambie meo na hatimaye mwambie mume wake kama wote hawaeleweki hama haraka, ila tafuta ku-solve kwani tatizo halikimbiwi ni kutatua maana unaweza kuhama ukakutana na tabia mbaya hata kuliko hiyo ukaja juta kuhama na hatimaye majuto ni mjukuu. Ila na wewe tukuulize akifanya hivyo unachukua hatua gani maana kama unamachekea ndiyo maana anaendelea!!!Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.
je nimfanye nini Mndengereko huyu?
umemalizana vipi na mama mwenye nyumba wako?Kila nikipishana nae lazima ajigusishe ziwa lake mwilini mwangu au anipige na kalio na mara nyingine mkono wake anauleta huku maeneo nyeti.<br />
leo nlipokuwa natoka home kuja job kanipiga kibao fulani huku ikulu hadi nikahisi maumivu, akasema ni bahati mbaya imetokea wakati wa kupishana.<br />
je nimfanye nini Mndengereko huyu?