Mama mwenyenyumba anataka niichape ili nimpe laki 1 ana shida nayo

Anataka kuanzisha danguro katika nyumba yake, anatengeneza mazingira.
 
Ukishakuwa mpumbavu, always utakuwa Mpumbavu tuu.

Kwann usimwambie hy 100k Ndio iwe ya kodi bali ww unakimbilia kwenye kupigana miti?
 
Kama siyo nyumba ya kurithi bas hama hapo. Mwenye nyumba analiwa kisa jiwe mmoja?
 
Mnaweza kuelewa tukisema
Samia anaongoza vichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…