Mama mzazi? Aibuuuuu!

Naitisha kikao cha ISC kujadili hili jambo.....for sure haikubaliki...

Yaani hili halikubaliki kabisa ndani ya ISC
Wakuu mbona siwaelewi? Hiyo si ndio INFIDELITY mnayoienzi? Labda mkajadili kosa walilofanya wahusika kwa kutafuta ibara iliyokuwa breached katika katiba yenu....! Kwangu mimi INFIDELITY naipinga muda wote kwa kuwaunga IPC mikono yangu yote....!
 
Sasa afanye nini? Tukubali tu kuwa ni hao ' watu wazima hovyoo!'
Cha kufanya asikae kimya akaugulia ndani kwa ndani aongee na wakubwa wake awaeleze! Then ikishindikana akubali yaishe! Maana ameshetoa dukuduku lake
 
Wakuu mbona siwaelewi? Hiyo si ndio INFIDELITY mnayoienzi? Labda mkajadili kosa walilofanya wahusika kwa kutafuta ibara iliyokuwa breached katika katiba yenu....! Kwangu mimi INFIDELITY naipinga muda wote kwa kuwaunga IPC mikono yangu yote....!
Ukisoma sheria zetu vizuri utaelewa kwa nn hi aikubaliki
 
wakuu mbona siwaelewi? Hiyo si ndio infidelity mnayoienzi? Labda mkajadili kosa walilofanya wahusika kwa kutafuta ibara iliyokuwa breached katika katiba yenu....! Kwangu mimi infidelity naipinga muda wote kwa kuwaunga ipc mikono yangu yote....!

that is not infidelity that is abomination members wote wanao practice infidelity wote wameoa that is one of our rules, soma sheria tena upya
 
Hamna tatizo - Mama naye ni mwanadamu kama wengine na anayo mahitaji ya mwili - Mwambie huyo ambaye Mama yake analiwa akubali hali halisi and "obladi oblada - life goes on"!
 

yaani huyu huyu kijana tena apate na kazi ya kufatilia akma huyo frnd wake ana mapenzi ya kweli kwa maamke...hapana! labda mie wa njoro bado mshamba kwa kweli, lakini bado ckubaliani na mama kutemmbea na huyo kijana hata kidogo, hakuna mapenzi hapo ni kijana kajihifadhi, hata hao wazee wanaotembea na vibinti ni gold digger tu hakuna mapenzi...huyu mama ningekubaliana nae kama angetafuta mzee mwenzie...vingenevyo bora angefanya zinaa kuliko kudhalilishana hivi.
 
Cha kufanya asikae kimya akaugulia ndani kwa ndani aongee na wakubwa wake awaeleze! Then ikishindikana akubali yaishe! Maana ameshetoa dukuduku lake

mie bwana huyu mama ningegombana nae sana, atafute mzee mwenzie huko.
 

sawa Nyamayao nyie wa Njoro tunawajua bana, ''akuanzae kwa upanga mmalize kwa upanga''!!!!!!!!!!
 

The Following User Says Thank You to Nyamayao For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
mie bwana huyu mama ningegombana nae sana, atafute mzee mwenzie huko.

kama wa njoro basi we mwenzangu, hakumpata mzee mwenzie, ampate wapi! kazi kwelikweli,
hataki kumpa mwanamke mwenzie aliye kwenye ndoa sononeko la kuiba mume wa mtu, wazee wenzao wengi pia wanakuwa na wake wengi wao.
Kiukweli hili jambo ni gumu sana. nasema hivi kwa uzoefu nilionao na marafiki wanaonizunguka, ni jambo lipo sana ni bahati tu kijana kang'amua

Week end njema
 
Hapo kwa kweli ni pagumu kutoa ushauri, jamaa inabidi awe mpole na kuacha mambo yaende kama yalivyo..............lakini kwa wengine unaweza kuua mtu.
 
what??????????????:faint::faint::faint:yani kijana ameamua ku chungulia alipotoka yy pamoja na rafikie?aibu gani hii jamani!mbona laana?kutembea na mtu aliekuzidi umri si kosa,ingawa mapenzi hayachagui lkn ndo mama wa rafikiyo?kwahiyo rafikie atamuita baba?mweeeeeeeeeeeeeee!eeeeeeh Mungu tusaidie.Huyu jamaa angenitambua mm ni nani na mama pia ningemuitia wazee wakubwa waongee nae kama ataki ushauri wangu wa kuachana na huyo mwanae frm another woman.
 

Waswahili wanasema aibu kwako
 

bora kukikucha ujue unaemwambia "shikamoo baba" kweli anastahili hiyo heshima...sasa huyu kijana amsalimie kijana mwenzie mambo, za asubuhi au shikamoo baba?...bwana wee huyu mama hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…